lkn cha ajabu labda wanaoteseka na kufa majority ni muslims ...
What do you mean countryman...?lkn cha ajabu labda wanaoteseka na kufa majority ni muslims ...
Unateseka Wew, nafsi imeumbiwa kifo.lkn cha ajabu labda wanaoteseka na kufa majority ni muslims ...
The World is enjoying the religion of Peace!Upendo wa waislam wenye misimamo mikali ni wa unafiki mkubwa! Muislam anayewapenda watu wote bila ya kujali imani zao, ndiye mwente upendo wa kweli, na huyo atawapenda hata waislam wenzake.
Ukisikia jitu linajiita muislam halafu linaua wasio waislam eti jwa kwaajili ya kufuata mafundisho ya uidlam, hilo tarajia litaua hata waislam wenzake.
Hao Hezbollah, Houthis, Hamas, wote ni wakala wa shetani, hawana upendo kwa yeyote. Fikiria kule Gaza, wananchi waliandamana kukataa utawala wa Hamas, walichoambulia ni kuuawa na hao Hamas. Huko Yemen, Houthis wanawaua waislam wenzao ambao ni Wayemen wenzao. Huko Lebanon, Hezibollah mara nyingi wamewaua Walebanon wenzao, wakamwua mpaka Rafiq Harrir alitekuwa waziri mkuu.
Nyakati zote, Mashariki ya kati ndiyo imeongoza kwa mauaji.
Israel wangekuwa waislamu ungewachukia?Unateseka Wew, nafsi imeumbiwa kifo.
Hakuna kumpigia magoti muisrael wala mmarekan
Ndiyo,kama navoichukia Saud ArabiaIsrael wangekuwa waislamu ungewachukia?
Usilete udini kwenye masuala mtambuka. Israel ndio kiini cha matatizo yote mashariki ya kati. Hata viongozi wa Ulaya wengi tu wanamlaumu Netanyahu/Israel. Usihusishe dini aisee. Pedro Sanchez waziri wa Uhispania ni mkristo ila anakemea uovu wa Israel.Israel wangekuwa waislamu ungewachukia?
Upendo wa waislam wenye misimamo mikali ni wa unafiki mkubwa! Muislam anayewapenda watu wote bila ya kujali imani zao, ndiye mwente upendo wa kweli, na huyo atawapenda hata waislam wenzake.