Ndiyo bby embu mshauri anafaaMedol
Inabidi tumuache tu maana anayajua mwenyewe.Ndiyo bby embu mshauri anafaa
Kazana mwaya
Kwani unawafahamu wote wa pale Uyole?acha uongo wewe mbona simfahamu mimi
Kwani medol ndo nini? ...Ok, nimeshampata, nadhani alikuwa anamaanisha kuwa medal/medali....anyway anafaa kuwa medali kwa mwili huo.
Asante.
Huyu mbona amewezaKomaa ila naona kama mfupi mno sijui ni macho yangu au!!!?