Akazane kotekote.Kazana ipo siku utafanikiwa
Kweli mkuuAkazane kotekote.
kwahapo...kile anachoomba akipate, naomba ajibiwe kama alivyotarajia kwenye maombi yake.
Mbona unamtetea wakati kajieleza vya kutosha kuwa anataka kuwa medol?Ana maanisha model bana
HeheheheeeInabidi tumuache tu maana anayajua mwenyewe.
Mmh! Ndo wewe nini huyo?Kakosea spelling tu
Bac hebu tupia tena kapicha chenye mfumo wa 3D hivi tukuone kila upande basiiii
Wallahi mungu anakuona
Hapo sijui umetumia mfumo upi wa kukaa kwebye huo mti
Mmh! Nahofia style za kurogana hzoUle wa sumbawanga
Matumizi mabaya ya mtandao.