Anaomba ushauri, yuko njipanda.

Anaomba ushauri, yuko njipanda.

Ndio atadaiwa kiasi alichokopeshwa tena inabidi arudi chuo apewe barua yake ya kudisco aipeleke loan board asitishiwe mkopo wake tofauti na hapo chuo kinaweza kisipeleke taarifa zake pesa ikaendelea kuingia kwenye mifuko ya wakubwa
Mkopo wake hauwezi kamwe kwenda chuo tena Ila inabidi akachukue barua ya discontinue apelekee TCU wamtoe kwenye mfumo Ili aweze kuomba chuo upya.
Kutofikisha GPA ya mbili Ni automatically huwezi kupata allocation.
 
ivi allocation kila mwaka inakuja mpya kwa contineous to come
 
Hapo kafeli mtihani special hakuna Tena kwa hiyo GPA lkn asipaniki kushindwa mtihani sio kushindwa maisha Mungu atamuinua kivingine na km anapenda shule wapo watu hudisco lkn huomba chuo kingine na kuanza upya Tena kwa mwaka Cha msingi apeleke barua ya kudisco TCU ili aondolewe kwny system halafu aombe upya
 
Discontinue maana yake akafanye ama akasome kozi ingine tu
Aende chuoni hapo MUCE achukue barua ya kudisco, Apeleke hio barua TCU ili wamtoe katika system ili aweze apply chuo kingine katika second round hii.

Kudisco sio mwisho wa maisha, maisha lazma yaendelee mpe moyo, mfariji, hili jambo linaumiza sana asikuambie mtu.
 
Hapo kafeli mtihani special hakuna Tena kwa hiyo GPA lkn asipaniki kushindwa mtihani sio kushindwa maisha Mungu atamuinua kivingine na km anapenda shule wapo watu hudisco lkn huomba chuo kingine na kuanza upya Tena kwa mwaka Cha msingi apeleke barua ya kudisco TCU ili aondolewe kwny system
Sawa kiongozi
 
Aende chuoni hapo MUCE achukue barua ya kudisco, Apeleke hio barua TCU ili wamtoe katika system ili aweze apply chuo kingine katika second round hii.

Kudisco sio mwisho wa maisha, maisha lazma yaendelee mpe moyo, mfariji, hili jambo linaumiza sana asikuambie mtu.
Shukrani, namuona mwenyewe hana stress .atavuka tuu
 
Salamu, wakuu kuna ndugu yangu kapata GPA ya 1.3 first year. Kwa matokeo haya kuna namna ya kuingia mwaka wa pili??? Kweli
Au imeshatoka akafanye maisha mengine mtaani
Polee mkuu angalia maisha mengine
 
Back
Top Bottom