Anaomba ushauri, yuko njipanda.

Anaomba ushauri, yuko njipanda.

Kufanya supplementary exam ilibidi awe atlest na gpa ya 1.8
Hata hiyo bado hawez kufanya labda ni kwa baadhi ya vyuo but kuna vyuo vngne ukipata gpa below 2.0 umedisco tayari, na unaruhusiwa kufanya supplementary exams. Na kama upo below ya 2.0 na una sup huruhusiwi kufanya tayar huna chuo
 
Na HESLB watadai chao??
Ndio atadaiwa kiasi alichokopeshwa tena inabidi arudi chuo apewe barua yake ya kudisco aipeleke loan board asitishiwe mkopo wake tofauti na hapo chuo kinaweza kisipeleke taarifa zake pesa ikaendelea kuingia kwenye mifuko ya wakubwa
 
Salamu, wakuu kuna ndugu yangu kapata GPA ya 1.3 first year. Kwa matokeo haya kuna namna ya kuingia mwaka wa pili??? Kweli
Au imeshatoka akafanye maisha mengine mtaani
Ngoma imelala hiyo. Labda u apply upya. Kufanua sap mpaka uwe na 1.8 gpa
 
kuna vitu viskie tu mpe pole sana huyo dogo maana sup tu yenyewe ni joto sasa kudisco .uwe karibu sana na huo kijana sanaa
 
Hakuna njia nyingine zaidi ya kusoma kwa bidii na kuhakikisha una maintain gpa yako isishuke au kubaki pale pale kutoka mwaka mmoja kwenda mwingine!
Kama una chura na sura ya kuvutia unawezaje pata hiyo G.P.A,kaongee na waadhiri vizur,mbona kuna binti nimemaliza nae akapata changamoto ya hivyohivyo lakn alifanikiwa akamaliza na anakaz nzuri tu sshv...kiuno msingi
 
Back
Top Bottom