Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,081
Mpige chini aache mazoea
Zingatia Tozo ya kutuma ni 2,700 na ya kutoa hio pesa ni 4,714 kwahio utapotuma hakikisha umetuma 85,000 ili apate fungu likiwa kamili!😂😂😂Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa, kala sana viela vyangu kipindi hiko.
Ila pamoja na kumjali kote hakuwai kunipa penzi kipindi hiko chote ,kila siku anasema subiri subiri, naogopa naogopa. Mwisho wa siku nikampotezea na nikaja kuoa , maisha yakasonga.
Sasa bwana mwezi uliopita nikagumiananae kwenye mtandao fulani, tukachat sana, akaniambia ameolewa na Sasa ana mtoto mmoja, anasema kipindi kile hata yeye alinipenda sana,ila utoto ulikuwa unamsumbua tu, nikamuambia usijali yashapita hayo bibie, hata mimi nna familia kwasasa,
Sasa bwana Jana ameniambia yupo Mwanza alienda kwenye kumuuguza mama yake, na bahati mbaya amekufa. Kwahiyo pamoja na mambo mengine anaomba nimsaidie elfu Themanini aongezee nauli, na mahitaji mengine.
Aisee sijapata jibu la kumjibu mpaka leo, zaidi yakumwambia subiri tuangalie namna zake. Kuna wanawake Ni wapuuzi Sana, Sasa mtu Kama huyu wakumsaidia kweli hiyo senti, siitakuwa ni "Ukoro"
Kodi ya uzalendo, sasaivi wale TUMA na yakutolea itabidi watuhurumie tu😂Zingatia Tozo ya kutuma ni 2,700 na ya kutoa hio pesa ni 4,714 kwahio utapotuma hakikisha umetuma 85,000 ili apate fungu likiwa kamili!😂😂😂
Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu! Itakwenda kwenye Account Maalum ya Mshikamano 😂😂😂
mkuu ntamtumia tu hakuna namna, ili serikali ikate Kodi ya uzalendo 😎Hapo kwa mtazamo wa kibinadamu anapaswa kusaidiwa shida yake...
Ila ukimtazama kwa jicho lal mahaba huyo alishakuona fala kitambo saaaaana,, na hapo akisema umpe hio hela anavorudi apitie kwako huchomoi...
Achana nae,,, tafuta ingizo jipya.. Yapo mengi tu
ulimjibu kiukauzu Sana😂😂Niliwahi kumtongoza wakati huo binti mmoja yupo Muleba pale Kagera akaniletea nyodo nikaachana naye nikamla rafiki yake, ajabu yake yule aliyenitosa akanuna nikamkaushia na mawasiliano nikakata.
Miaka kadhaa mbeleni yule yule aliyenitosa akanitafuta kwa njia ya simu, baada ya salamu na maongezi marefu akaniomba nimtumie hela amepungukiwa katika maandalizi ya send off yake kama laki na sabini hivi anatarajia kufunga ndoa.
Nilicheka sana nikakata simu. Baada ya kunidadisi kulikoni nilimjibu kwa kifupi tu, mwambie huyo unayempa qumma akuchangie. Hakuwahi kunipigia wala kunitafuta tena
Uache kuchungulia madirishanikwa kipindi kile mkuu nilistahili tu kuwa boyaaaa😂, mtoto Ni mzurii aswaaa,katimia kila idala, halafu fedha pia ilikuwa yakuchezea kwa wakati ule, ila yote kwa yoye Kuna ukweli usemacho pia
Duh😀😀😀 anayempa nini👆Niliwahi kumtongoza wakati huo binti mmoja yupo Muleba pale Kagera akaniletea nyodo nikaachana naye nikamla rafiki yake, ajabu yake yule aliyenitosa akanuna nikamkaushia na mawasiliano nikakata.
Miaka kadhaa mbeleni yule yule aliyenitosa akanitafuta kwa njia ya simu, baada ya salamu na maongezi marefu akaniomba nimtumie hela amepungukiwa katika maandalizi ya send off yake kama laki na sabini hivi anatarajia kufunga ndoa.
Nilicheka sana nikakata simu. Baada ya kunidadisi kulikoni nilimjibu kwa kifupi tu, mwambie huyo unayempa qumma akuchangie. Hakuwahi kunipigia wala kunitafuta tena
Duh ni yule mtanashati911? Seriously unamlipa pesa zake ? Hakika utaingia mbinguni 😂Ujana maji ya moto mazee ujanani kuna niliimlia pesa zake na aliniamini kupita maelezo alinipenda mnooo ila ndoivo nikaolewa na mwingine kabisaaa,, ila nimemuangusha namrefundi pesa zake make aliniamini mno mnoo
Ndo mana siku hizi hakuna CcUjana maji ya moto mazee ujanani kuna niliimlia pesa zake na aliniamini kupita maelezo alinipenda mnooo ila ndoivo nikaolewa na mwingine kabisaaa,, ila nimemuangusha namrefundi pesa zake make aliniamini mno mnoo
Hata mm nahisi hakuna cha msiba ni mradi tu 2a kumchapa jamaa noti kadhaa kwanza kupima upepo ukojePoint kubwa hapa ni sponsor kurud kwenye 18 zake afu sponsor mwenyewe anavimba kichwa utashangaa hata bibie hana msiba