Anaomba nimsaidie pesa, sitampa maana kipindi cha mahusiano yetu hakuwahi kunipa penzi

Kuna mwanamke kwenye mwaka 2011 nilikuwa namtaka na nilimpenda sana, viela vyangu vidogo dogo alikula sana, wacha mahitaji mengine, kipindi hiko yeye ana umri wa 21yrs, nilimpenda aswaaaa, kala sana viela vyangu kipindi hiko.

Ila pamoja na kumjali kote hakuwai kunipa penzi kipindi hiko chote ,kila siku anasema subiri subiri, naogopa naogopa. Mwisho wa siku nikampotezea na nikaja kuoa , maisha yakasonga.

Sasa bwana mwezi uliopita nikagumiananae kwenye mtandao fulani, tukachat sana, akaniambia ameolewa na Sasa ana mtoto mmoja, anasema kipindi kile hata yeye alinipenda sana,ila utoto ulikuwa unamsumbua tu, nikamuambia usijali yashapita hayo bibie, hata mimi nna familia kwasasa,

Sasa bwana Jana ameniambia yupo Mwanza alienda kwenye kumuuguza mama yake, na bahati mbaya amekufa. Kwahiyo pamoja na mambo mengine anaomba nimsaidie elfu Themanini aongezee nauli, na mahitaji mengine.

Aisee sijapata jibu la kumjibu mpaka leo, zaidi yakumwambia subiri tuangalie namna zake. Kuna wanawake Ni wapuuzi Sana, Sasa mtu Kama huyu wakumsaidia kweli hiyo senti, siitakuwa ni "Ukoro"
Zingatia Tozo ya kutuma ni 2,700 na ya kutoa hio pesa ni 4,714 kwahio utapotuma hakikisha umetuma 85,000 ili apate fungu likiwa kamili!😂😂😂

Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu! Itakwenda kwenye Account Maalum ya Mshikamano 😂😂😂
 
Hapo kwa mtazamo wa kibinadamu anapaswa kusaidiwa shida yake...

Ila ukimtazama kwa jicho la mahaba, huyo alishakuona fala kitambo saaaaana,, na hapo akisema umpe hio hela anavorudi apitie kwako huchomoi...

Achana nae,,, tafuta ingizo jipya.. Yapo mengi tu
 
Zingatia Tozo ya kutuma ni 2,700 na ya kutoa hio pesa ni 4,714 kwahio utapotuma hakikisha umetuma 85,000 ili apate fungu likiwa kamili!😂😂😂

Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu! Itakwenda kwenye Account Maalum ya Mshikamano 😂😂😂
Kodi ya uzalendo, sasaivi wale TUMA na yakutolea itabidi watuhurumie tu😂
 
Hapo kwa mtazamo wa kibinadamu anapaswa kusaidiwa shida yake...

Ila ukimtazama kwa jicho lal mahaba huyo alishakuona fala kitambo saaaaana,, na hapo akisema umpe hio hela anavorudi apitie kwako huchomoi...

Achana nae,,, tafuta ingizo jipya.. Yapo mengi tu
mkuu ntamtumia tu hakuna namna, ili serikali ikate Kodi ya uzalendo 😎
 
Niliwahi kumtongoza wakati huo binti mmoja yupo Muleba pale Kagera akaniletea nyodo nikaachana naye nikamla rafiki yake, ajabu yake yule aliyenitosa akanuna nikamkaushia na mawasiliano nikakata.

Miaka kadhaa mbeleni yule yule aliyenitosa akanitafuta kwa njia ya simu, baada ya salamu na maongezi marefu akaniomba nimtumie hela amepungukiwa katika maandalizi ya send off yake kama laki na sabini hivi anatarajia kufunga ndoa.

Nilicheka sana nikakata simu. Baada ya kunidadisi kulikoni nilimjibu kwa kifupi tu, mwambie huyo unayempa qumma akuchangie. Hakuwahi kunipigia wala kunitafuta tena
ulimjibu kiukauzu Sana😂😂
 
hivi watu ambao hamjawapyambya mnapata ujasiri wapi wa kusema, ''tulipokuwa katika mahusiano'' kama katika title yako??

mi ambaye sijampyambya natumia maneno ''tulipokuwa katika maongezi'' tu. kwani kwangu mimi mahusiano hayakamiliki bila kupyambya!!!
 
kwa kipindi kile mkuu nilistahili tu kuwa boyaaaa😂, mtoto Ni mzurii aswaaa,katimia kila idala, halafu fedha pia ilikuwa yakuchezea kwa wakati ule, ila yote kwa yoye Kuna ukweli usemacho pia
Uache kuchungulia madirishani
 
Ujana maji ya moto mazee ujanani kuna niliimlia pesa zake na aliniamini kupita maelezo alinipenda mnooo ila ndoivo nikaolewa na mwingine kabisaaa,, ila nimemuangusha namrefundi pesa zake make aliniamini mno mnoo
 
Niliwahi kumtongoza wakati huo binti mmoja yupo Muleba pale Kagera akaniletea nyodo nikaachana naye nikamla rafiki yake, ajabu yake yule aliyenitosa akanuna nikamkaushia na mawasiliano nikakata.

Miaka kadhaa mbeleni yule yule aliyenitosa akanitafuta kwa njia ya simu, baada ya salamu na maongezi marefu akaniomba nimtumie hela amepungukiwa katika maandalizi ya send off yake kama laki na sabini hivi anatarajia kufunga ndoa.

Nilicheka sana nikakata simu. Baada ya kunidadisi kulikoni nilimjibu kwa kifupi tu, mwambie huyo unayempa qumma akuchangie. Hakuwahi kunipigia wala kunitafuta tena
Duh😀😀😀 anayempa nini👆
 
Ujana maji ya moto mazee ujanani kuna niliimlia pesa zake na aliniamini kupita maelezo alinipenda mnooo ila ndoivo nikaolewa na mwingine kabisaaa,, ila nimemuangusha namrefundi pesa zake make aliniamini mno mnoo
Duh ni yule mtanashati911? Seriously unamlipa pesa zake ? Hakika utaingia mbinguni 😂
 
Point kubwa hapa ni sponsor kurud kwenye 18 zake afu sponsor mwenyewe anavimba kichwa utashangaa hata bibie hana msiba
Hata mm nahisi hakuna cha msiba ni mradi tu 2a kumchapa jamaa noti kadhaa kwanza kupima upepo ukoje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom