MTWA
JF-Expert Member
- Aug 5, 2009
- 1,166
- 166
Wewe acha kuwachomea wenzio, aachane kabisa na huyo mtu mwone kama ukoma!! mwombe mkeo lolote unalotaka. utamsahau huyoNishawahi lakini safari hii balaaaaaaaaa
Wewe acha kuwachomea wenzio, aachane kabisa na huyo mtu mwone kama ukoma!! mwombe mkeo lolote unalotaka. utamsahau huyoNishawahi lakini safari hii balaaaaaaaaa
we Lutala vipi? wataka kusema huyo jirani anamzidi mkeo?Mwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. Jirani yetu kuna dada flani tena shoga wa wife ameniganda ile mbaya. Kwa ujumla yuko njema. Hapa nilipo sielewi nifanyeje na tangu nioe sijawahi uza timu nje. Naombeni ushauri.
hapana mkuu hapo miye nimegoma labda ulete hoja nyingine kabisaMwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. Jirani yetu kuna dada flani tena shoga wa wife ameniganda ile mbaya. Kwa ujumla yuko njema. Hapa nilipo sielewi nifanyeje na tangu nioe sijawahi uza timu nje. Naombeni ushauri.
Sijawahi kudungua lakini ninakoelekea ni kudungua. Maana lazima nitunze heshima ya ngariba
Jamani nimeona bora nimfumue tu maana anaweza kunidharau..... na katika maisha yangu dharau sipendi kabisa.
Mwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. Jirani yetu kuna dada flani tena shoga wa wife ameniganda ile mbaya. Kwa ujumla yuko njema. Hapa nilipo sielewi nifanyeje na tangu nioe sijawahi uza timu nje. Naombeni ushauri.