Ananitega | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ananitega

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Lutala, Jul 22, 2010.

 1. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. Jirani yetu kuna dada flani tena shoga wa wife ameniganda ile mbaya. Kwa ujumla yuko njema. Hapa nilipo sielewi nifanyeje na tangu nioe sijawahi uza timu nje. Naombeni ushauri.
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Afadhali umejua hilo mapema. Jichunge usiharibu ndoa na familia yako.
   
 3. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tangu umeoa ushawahi kutegwa au hii ndo first time?
   
 4. Mkosoaji

  Mkosoaji JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ushauri wangu, kwa kuwa umeoa na una watoto. ACHA KABISA HII KITU. Starehe ya nyama itakuwa ile ile.
   
 5. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35

  Nishawaahi kutegwa lakini safari hii naona kanma nashindwa kujizuia
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Unajitega mwenyewe!!!!!
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  mwonjeshe mara moja tu kisha mwambie hajui 'game'. mwambie my wife wako ni bora kuliko yeye:eek2:

  source: jf
   
 8. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  wacha ufala..au umeshadungua sasa unapima madhara yake....utatembea bucha zote lakini nyama ni ile ile.
   
 9. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nishawahi lakini safari hii balaaaaaaaaa
   
 10. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mweleze Mkeo.
   
 11. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Aziniye na mwanamke hana akili kabisa maana anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
   
 12. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  :focus: KAma umegundua you have a perfect solution
   
 13. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  mkuu apo unafahamu kitu kinaitwa kudumisha mila?
   
 14. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Jamani nimeona bora nimfumue tu maana anaweza kunidharau..... na katika maisha yangu dharau sipendi kabisa.
   
 15. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Du nikimwambia tu ndo ntaharibu. Maana hapo sasa ndo ugomvi na shoga yake
   
 16. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Sasa kama mimi ni rijali kwanini nimwachie?
   
 17. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Sijawahi kudungua lakini ninakoelekea ni kudungua. Maana lazima nitunze heshima ya ngariba
   
 18. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Wapi kaka, walaaaaa yeye mwenyewe tu na ungedere wake. na sasa namlipua pu
   
 19. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wewe inaonesha ushamukolea huyo mdada yuko njema tena kuliko mkeo? ulishaoa kwanini usijiue la kufanya?
  Ndugu yangu kama hujawahi kuuza timu nje basi naona unaelekea huko. Na ukiuza tu utakuja kujuta kwa yatakayokukuta. Utaharibu ndoa na mwisho uwatese watoto wako. MGANDE MKEO AKUTIMIZIE UMSAHAU HUYO aliyekuganda.
  VUNJA UKIMYA MWAMBIE MKEO UNATAKA AWEJE NA UMWANDAE UMFURAHIE!!!!
   
 20. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahahaha hapa naona ni wewe umempenda sio mitego yake ndo maana unadhibitisha mwenyewe hapa chini...
  Dumisha mila kiongozi wala hakuna ubaya.....
   
Loading...