Ananitega

na ukimwi je??usikute anataka kukusakizia we haya!!!tena shoga wa mkeo huyo ana lake jambo,je MKEO AKITEMBEA NA RAFIKIYO UTAFURAHI WEWE,MAANA MUOSHA HUOSHWA,MUOGOPE MUNGU ,

Hapo kwenye bold homeboy Lutala! Wazungu wanaongeze what goes arround comes arround! Inafurahisha jinsi unavyogeuka toy la shogake mkeo a.ka shemeji yako!........Jipeleke tu utumwani Misri mkuu!
 
We bro, kama unataka kweli ushauri, basi acha kutegeka kabisa. Kwa vile anajua una mke, akikuletea story zilizokinyume, zaidi msifie mkeo tu. na mwisho utammaliza nguvu za kukutega. Bro, kuchapachapa noma, make unaweza ukanogewa zaidi ukatelekeza familia. Na akikukamata huku anajua una mke, aiseee sambigolya ya pale!!!, sitaki kusimulia mie, kwani atahitaji ampiku mkeo. So be care.
 
Huo ni mtego wa ukimwi jihadhari sana mdogo wangu. Tamaa mbele mauti nyuma, au ndio umehamasika kwa kusikia kwamba kuna dawa mpya zipo kwenye majaribio?.

Hala hala mti na macho, mukianza tu basi mumenasa maana utataka kurudi tena na tena mpaka mamie chanja aje ashtukie uanze kujuta.

Vile vile huo ushoga nina wasi wasi nao pengine amejifanya shoga wa mkeo ili aweze kuwa karibu na wewe. Mama watoto akishtukia hilo dili basi ujue uko matatani.
 
Jamani nimeona bora nimfumue tu maana anaweza kunidharau..... na katika maisha yangu dharau sipendi kabisa.

Akisumbua sana we rarua tu afu tumia mbinu ile 'nlivokuta na nilivodhani tofauti humfikii mke wangu hata robo tusijuane' huyo hasumbui tena na akikuona anaangalia chini.Wanawake pia huitumia ukimsumbua saana anakupa ukimaliza anakwambia 'kunisumbua kote kumbe huyawezi naomba tusijuane' ukiona anakuja unabadili njia.
 
Wewe Uporoto mbona unampoteza mwenzako?

Akinogewa na uhondo wa ngoma je, si ataingia acheze kikamilifu? Na hapo ndipo atakuta mwisho shoga anamgeuzia kibao mke wake na kuanza kumfanyia vituko vya kila aina.

Tahadhari tahadhari tahadhari, mti na macho!
 
Wewe Uporoto mbona unampoteza mwenzako?

Akinogewa na uhondo wa ngoma je, si ataingia acheze kikamilifu? Na hapo ndipo atakuta mwisho shoga anamgeuzia kibao mke wake na kuanza kumfanyia vituko vya kila aina.

Tahadhari tahadhari tahadhari, mti na macho!

Bitimkongwe ebu jaribu kusoma majibu ya mleta mada na utagundua keshaamua kwa maneno yake 'kumfumua','hataki dharau'.Huyu kaisha 'fumua' au yuko mbioni sasa nilikuwa nampa mbinu Plan B ili 'ufumuaji' usiendelee.
 
Mwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. Jirani yetu kuna dada flani tena shoga wa wife ameniganda ile mbaya. Kwa ujumla yuko njema. Hapa nilipo sielewi nifanyeje na tangu nioe sijawahi uza timu nje. Naombeni ushauri.

Test zali upate vionjo tofauti...
 
Mwenzenu nimeo na nimebahatika kupata watoto 4. Nina kakazi kangu, kwa ujumla hap uswahilini mie natesa. Jirani yetu kuna dada flani tena shoga wa wife ameniganda ile mbaya. Kwa ujumla yuko njema. Hapa nilipo sielewi nifanyeje na tangu nioe sijawahi uza timu nje. Naombeni ushauri.

kama nimesoma btn the lines
Ina maana wife wako hayuko njema ukilinganisha na huyo dada na pili umeshamtamani .kwa hiyo Unataka upewe ushauri wa safest way ya kuuza timu nje( friedly match). kwa kuwa kakuganda mwambie mkutane sehemu fulani kwa ajili ya mambo private. ila kumbuka kutumia protector na sasa zipo mpaka condom za ulimi.

Tafuta movie inatwa "Fatal attraction" itakusaidia vile vile

kama uko Dar Ukitaka kujua chimbo zuri na salama la kucheza friend match ni PM.


Otherwise option B ni tafuta mshikaji wako wa karibu uje umlengeshe kiaina. Nadhani ushaninyaka yaani piga pande uupass huo mzigo kwa mshikaji mwingine watu wajilie vinono. Lakini hii inaweza kukuuma kama mzigo umeuzimia alafu hujaubandua. teh teh

Opition C Unaweza kutumia option A alfu ukatumia Option B

Good Luck
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom