Ananishawishi sana kuingia kwenye QNET mpaka anakera!

Ananishawishi sana kuingia kwenye QNET mpaka anakera!

Mm kuna sehemu nmeitwa kesho, nmeambiwa kuna project anafanya na wa-Malaysia hivyo angependa kunishirikisha mm km rafiki yake.

Cha kushangaza nmemwambia nipe details japo kdg ya hiyo project akasema ni vzr zaid tukikutania ofisini kwako!!!!

Lkn najua yatakuwa hayahaya mambo ya network marketing, ngoja nikaone ni project gan hiyo.
Usisahau kuleta mrejesho mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kuna ndugu yangu aliniingiza mkenge siku ya kwanza, nikavumilia hiyo presentation yao kinafiki nikaambiwa kesho yake nihudhurie ya pili, anapiga simu hadi kesho sipokei simu yake sitaki ujinga mimi
 
Mwambie anapoteza muda kwako na huamini katika aina hiyo ya biashara.
 
Mimi kuna jamaa yangu alikuwa ananikomalia kila siku niende Morogoro kuna bonge la fursa,nikamuuliza ni kitu gani akasisitiza kuwa ni vizuri nikaenda tuyapande na kuyajenga kikamilifu mambo yetu katika fursa hiyo!

Mtu mzima nikajipanga na kutia timu Morogoro,nikamkuta jamaa ananisubiri msamvu,nikamtaka tuelekee tax palace hotel kwa kuwa nilipanga kufikia hapo,basi ji vizuri mazungumzo yetu pia tufanyie hapo pia,akakomaa sana aaah,kwa habari ya mazungumzo twende barabara mpya pale kihonda,then baada ya hapo tuendelee na ratiba zingine,kwa kuwa ni mshkaji wangu nikamwambia poa (hapo akili yangu yote najua anaenda kunionyesha mradi wa ufugaji kuku,au project yoyote inayoeleweka)

Tumeshuka maeneo ya kihonda,ananipeleka kwenye jengo moja limepakwa rangi mpya mpya hivi,ile kuingia tu nakuta mipicha picha sijui ya quotations na magari magari hivi!

Mara nikasikia GOODMORNING!!!
Nilishikwa na hasira,nikamuuliza jamaa yangu,fursa uliyoniambia iko wapi? Macho makavu kabisa eti "ndiyo hii kaka" nikamwambia mbele ya wenzake wakiwa kwenye mduara, "NAKUHESHIMU SANA RAFIKI YANGU,SIKUTARAJIA UNIPOTEZEE MUDA WANGU KIASI HIKI,SINA TATIZO NA MAAMUZI YAKO KUJIUNGA HUKU,LAKINI KUNIFANYIA HIVI NI UPUMBAVU!"

Nikafungua mlango na kuondoka,jamaa akaniita nimsikilize nikakataa,nilienda zangu hotel hata sikumtafuta,na kesho yake nikapanda gari kurejea Dsm!
 
Mwambie umekufa.
I did not see this comment 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

Nmecheka mpaka nimepaliwa 😅😅😅😎
 
Nia yako ni kuelezea ulichokutana nacho ukaona uingie kwa gea ya kuomba ushauri? Kama umeshaona wapigaji (kitu ambacho ni kweli) si unamwambia tu huna fedha? Au unaona aibu kwa sababu ni mwanamke? Unajua kuna wanaume wengine ni wadhaifu sana mbele ya wanawake hata wakiambiwa kula mavi wanakula! Nina uhakika akingekuwa ni mwanaume anakushawishi ungemfukuza bila aibu. Au umejua wanawake ukubwani nini? Just say thank you very much, but I am not interested at the moment because I have other commitments!
Heheh umempa ukweli
 
Alafu sijui kwanini hizo net marketing hupendelea maeneo ya sinza? Hats gnld walitaka niingiza mkenge hapohapo sinza nikawaambia nilijaza form nikawaambia subirini nikatoe pesa jadi leo
 
Ukishaingia huko hakuna mlango wa kutokea ni kutafuta mjinga mwenzako tuu na wewe upige pesa.
 
Mimi nilikutana na wale wa Forever Living Produt...
Hawa watu wanaboa vibaya
 
Mimi kuna jamaa yangu alikuwa ananikomalia kila siku niende Morogoro kuna bonge la fursa,nikamuuliza ni kitu gani akasisitiza kuwa ni vizuri nikaenda tuyapande na kuyajenga kikamilifu mambo yetu katika fursa hiyo!

Mtu mzima nikajipanga na kutia timu Morogoro,nikamkuta jamaa ananisubiri msamvu,nikamtaka tuelekee tax palace hotel kwa kuwa nilipanga kufikia hapo,basi ji vizuri mazungumzo yetu pia tufanyie hapo pia,akakomaa sana aaah,kwa habari ya mazungumzo twende barabara mpya pale kihonda,then baada ya hapo tuendelee na ratiba zingine,kwa kuwa ni mshkaji wangu nikamwambia poa (hapo akili yangu yote najua anaenda kunionyesha mradi wa ufugaji kuku,au project yoyote inayoeleweka)

Tumeshuka maeneo ya kihonda,ananipeleka kwenye jengo moja limepakwa rangi mpya mpya hivi,ile kuingia tu nakuta mipicha picha sijui ya quotations na magari magari hivi!

Mara nikasikia GOODMORNING!!!
Nilishikwa na hasira,nikamuuliza jamaa yangu,fursa uliyoniambia iko wapi? Macho makavu kabisa eti "ndiyo hii kaka" nikamwambia mbele ya wenzake wakiwa kwenye mduara, "NAKUHESHIMU SANA RAFIKI YANGU,SIKUTARAJIA UNIPOTEZEE MUDA WANGU KIASI HIKI,SINA TATIZO NA MAAMUZI YAKO KUJIUNGA HUKU,LAKINI KUNIFANYIA HIVI NI UPUMBAVU!"

Nikafungua mlango na kuondoka,jamaa akaniita nimsikilize nikakataa,nilienda zangu hotel hata sikumtafuta,na kesho yake nikapanda gari kurejea Dsm!
GOODMORNING BUSINESS PARTNER [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu Kwanza Kabisa Naomba Kupata Ujuzi Wenu Jinsi Ya Ku-Deal Na Hawa Ving'ang'anizi Bila Kuharibu Murua Nzima Ya Mahusiano.

Huyu Rafiki Yangu Ni Wa Kike, Nilisoma Nae Huko Zamani. Lakini Sasa Baada Ya Mimi Kupata Ajira (na yeye yupo kwenye ajira) Amekuja Kuwa Ghadhabu Kwangu.

Mwanzo Alinifahamisha Kuwa Kuna Fursa Hapa Mjini Yeye Anaifanya Na Angependa Akutane Na Mimi Anieleze Kwa Undani. Nilifika Ofisini Kwao Na Kama Kawaida Yao "GOOD MORNING" Na Ilikuwa Jioni --- NILISHANGAA [emoji3][emoji3][emoji3]

Tangia Siku Hiyo Nikaona Hawa Ni Wasanii Tu. Hebu Fikiria Nachoma Mafuta 15 KM, Nimetoka Kibaruani Nimechoka, Wanaenda Kunipa Presentation Ya Nusu Saa Tu! -- "Eti Hapa Hutoelewa Tena Rudi Siku Nyingine Tutakuelekeza Zaidi" Nikasema Hawa Hawanipati Tena GADEMITT (in-Lemutuz-Voice)

Nikasepa Pale Lakini Nikasema Lazima Nikawa-Google, DUH!!! Eti Kiingilio Tsh Milioni 5 [emoji36]

Sasa Ni Masimu Yake Kila Mara, Mimi Sitaki! Kila Nikimzungusha, Nikimuambia Hataki Kuelewa! Ni Kama Kademu Kanacho-Force Mapenzi Asee!

Anafikia Mahali Hadi Anaikashifu Sasa Kazi Yangu Eti Inaniweka Sana Busy DAH[emoji17]

Wazee Nimfanyeje Huyu---


Sent from my iPhone using JamiiForums
Matapeli hao achana nao!!! Mimi nishafuatwa na watu wawili ocassions mbili tofauti wakinishawishi niingie. Hata mimi niligoogle nikagundua ni matapeli. Kuna nchi nyingine wamepigwa marufuku kwani wameliza wengi. Eti unanunua product mara moja tu maishani mwako!!!! Kazi yako kuleta watu wawili na hao walete wawili na mnyororo unaendelea hivyo. Hawa watu hawako realistic. Kwa uchumi wa kitanzania mil 5 inapatikana kweli kirahisi? Mikopo benki tunachukua mil 2, 3 nk. Sasa unapataje 5M? Ukishatoa wewe utakuwa umewapa ulaji tu na wewe hupati wa kukupatia hizo 5M zako!!!! Kimbia fasta!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom