Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,697
- 3,413
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji109]Mi pia nliitwa na classmate wangu... Cha ajabu wanafanana lugha na huyo wako... Na Mimi huyu nilimjibu nipo busy na Kazi akanambia HIZO KAZI ZA WATU... inabidi uwe busy na Kazi zako!
Na mm nikaambiwa Siku 1 siwezi kuelewa.... Niende tena Alhamis... Jiii mpaka leo! Jamaa alintafuta karibia miezi miwili... Njoo kuna fursa... Kuna fursa... Nikimuuliza fursa gani... Hasemi... Nikahisi tu kuna Shida pahala!
jamaa ana dhambi sana... Nimemkuta na vibibi vya watu vi3 kaviingiza king anaviimbisha GOOD MORNING Saa 10 jioni! Kuna bibi nimemkuta hana meno ya mbele na hata kutamka hayo maneno ni Shida!
Sent from my TA-1024 using Tapatalk