Ananishawishi sana kuingia kwenye QNET mpaka anakera!

Ananishawishi sana kuingia kwenye QNET mpaka anakera!

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
723
Reaction score
570
Wakuu Kwanza Kabisa Naomba Kupata Ujuzi Wenu Jinsi Ya Ku-Deal Na Hawa Ving'ang'anizi Bila Kuharibu Murua Nzima Ya Mahusiano.

Huyu Rafiki Yangu Ni Wa Kike, Nilisoma Nae Huko Zamani. Lakini Sasa Baada Ya Mimi Kupata Ajira (na yeye yupo kwenye ajira) Amekuja Kuwa Ghadhabu Kwangu.

Mwanzo Alinifahamisha Kuwa Kuna Fursa Hapa Mjini Yeye Anaifanya Na Angependa Akutane Na Mimi Anieleze Kwa Undani. Nilifika Ofisini Kwao Na Kama Kawaida Yao "GOOD MORNING" Na Ilikuwa Jioni --- NILISHANGAA [emoji3][emoji3][emoji3]

Tangia Siku Hiyo Nikaona Hawa Ni Wasanii Tu. Hebu Fikiria Nachoma Mafuta 15 KM, Nimetoka Kibaruani Nimechoka, Wanaenda Kunipa Presentation Ya Nusu Saa Tu! -- "Eti Hapa Hutoelewa Tena Rudi Siku Nyingine Tutakuelekeza Zaidi" Nikasema Hawa Hawanipati Tena GADEMITT (in-Lemutuz-Voice)

Nikasepa Pale Lakini Nikasema Lazima Nikawa-Google, DUH!!! Eti Kiingilio Tsh Milioni 5 [emoji36]

Sasa Ni Masimu Yake Kila Mara, Mimi Sitaki! Kila Nikimzungusha, Nikimuambia Hataki Kuelewa! Ni Kama Kademu Kanacho-Force Mapenzi Asee!

Anafikia Mahali Hadi Anaikashifu Sasa Kazi Yangu Eti Inaniweka Sana Busy DAH[emoji17]

Wazee Nimfanyeje Huyu---

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Labda ndiyo wenye kazi wanawake walivyo wabahili hivi mpaka ubane pesa ya chakula ukatoe milion 5 pafupi hapo? Unajua wanaume wengi wakiitwa na wanawake hwakatai lazima akasikilize matatizo yake ndiyo hayo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu mbona wanawa-n'gang'ania sana wakaka,.ni moja ya kanuni na taratibu zao ama?? Maana wote wanaokuja na malalamiko kama haya utakuta ni mkaka amegandwa kama rubaa na mdada,.chaaa!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nia yako ni kuelezea ulichokutana nacho ukaona uingie kwa gea ya kuomba ushauri? Kama umeshaona wapigaji (kitu ambacho ni kweli) si unamwambia tu huna fedha? Au unaona aibu kwa sababu ni mwanamke? Unajua kuna wanaume wengine ni wadhaifu sana mbele ya wanawake hata wakiambiwa kula mavi wanakula! Nina uhakika akingekuwa ni mwanaume anakushawishi ungemfukuza bila aibu. Au umejua wanawake ukubwani nini? Just say thank you very much, but I am not interested at the moment because I have other commitments!
 
kwa maelezo yako inaonesha si mara ya kwanza kualikwa nao na ulialikwa ikatokea uhusiano na aliyekualika ulivunjika/ uliharibika. mimi nakushauri jambo moja , uangalie moyo unasema nini na uufuate bila hivyo utakuwa unaishi kwa wasiwasi wa kuhofia watu
 
Wakuu Kwanza Kabisa Naomba Kupata Ujuzi Wenu Jinsi Ya Ku-Deal Na Hawa Ving'ang'anizi Bila Kuharibu Murua Nzima Ya Mahusiano.

Huyu Rafiki Yangu Ni Wa Kike, Nilisoma Nae Huko Zamani. Lakini Sasa Baada Ya Mimi Kupata Ajira (na yeye yupo kwenye ajira) Amekuja Kuwa Ghadhabu Kwangu.

Mwanzo Alinifahamisha Kuwa Kuna Fursa Hapa Mjini Yeye Anaifanya Na Angependa Akutane Na Mimi Anieleze Kwa Undani. Nilifika Ofisini Kwao Na Kama Kawaida Yao "GOOD MORNING" Na Ilikuwa Jioni --- NILISHANGAA [emoji3][emoji3][emoji3]

Tangia Siku Hiyo Nikaona Hawa Ni Wasanii Tu. Hebu Fikiria Nachoma Mafuta 15 KM, Nimetoka Kibaruani Nimechoka, Wanaenda Kunipa Presentation Ya Nusu Saa Tu! -- "Eti Hapa Hutoelewa Tena Rudi Siku Nyingine Tutakuelekeza Zaidi" Nikasema Hawa Hawanipati Tena GADEMITT (in-Lemutuz-Voice)

Nikasepa Pale Lakini Nikasema Lazima Nikawa-Google, DUH!!! Eti Kiingilio Tsh Milioni 5 [emoji36]

Sasa Ni Masimu Yake Kila Mara, Mimi Sitaki! Kila Nikimzungusha, Nikimuambia Hataki Kuelewa! Ni Kama Kademu Kanacho-Force Mapenzi Asee!

Anafikia Mahali Hadi Anaikashifu Sasa Kazi Yangu Eti Inaniweka Sana Busy DAH[emoji17]

Wazee Nimfanyeje Huyu---

Sent from my iPhone using JamiiForums
Be a man and tell her in no uncertain terms: you are not interested.
Kama ana lingine aseme. Ponzi scheme hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom