Ananishawishi sana kuingia kwenye QNET mpaka anakera!

Ananishawishi sana kuingia kwenye QNET mpaka anakera!

Kwangu watafanya Kazi sana maana hizo good morning nimezielewa mpaka basi.
Hakuna AMI global wala Qnet wajinga sana Hawa Jamaa
 
Nipe namba yake nikusaidie
Wakuu Kwanza Kabisa Naomba Kupata Ujuzi Wenu Jinsi Ya Ku-Deal Na Hawa Ving'ang'anizi Bila Kuharibu Murua Nzima Ya Mahusiano.

Huyu Rafiki Yangu Ni Wa Kike, Nilisoma Nae Huko Zamani. Lakini Sasa Baada Ya Mimi Kupata Ajira (na yeye yupo kwenye ajira) Amekuja Kuwa Ghadhabu Kwangu.

Mwanzo Alinifahamisha Kuwa Kuna Fursa Hapa Mjini Yeye Anaifanya Na Angependa Akutane Na Mimi Anieleze Kwa Undani. Nilifika Ofisini Kwao Na Kama Kawaida Yao "GOOD MORNING" Na Ilikuwa Jioni --- NILISHANGAA [emoji3][emoji3][emoji3]

Tangia Siku Hiyo Nikaona Hawa Ni Wasanii Tu. Hebu Fikiria Nachoma Mafuta 15 KM, Nimetoka Kibaruani Nimechoka, Wanaenda Kunipa Presentation Ya Nusu Saa Tu! -- "Eti Hapa Hutoelewa Tena Rudi Siku Nyingine Tutakuelekeza Zaidi" Nikasema Hawa Hawanipati Tena GADEMITT (in-Lemutuz-Voice)

Nikasepa Pale Lakini Nikasema Lazima Nikawa-Google, DUH!!! Eti Kiingilio Tsh Milioni 5 [emoji36]

Sasa Ni Masimu Yake Kila Mara, Mimi Sitaki! Kila Nikimzungusha, Nikimuambia Hataki Kuelewa! Ni Kama Kademu Kanacho-Force Mapenzi Asee!

Anafikia Mahali Hadi Anaikashifu Sasa Kazi Yangu Eti Inaniweka Sana Busy DAH[emoji17]

Wazee Nimfanyeje Huyu---

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama ni mrembo jambo kuongea nae na kumweleza akusaidie kutibu hisi a zako
 
Mi pia nliitwa na classmate wangu... Cha ajabu wanafanana lugha na huyo wako... Na Mimi huyu nilimjibu nipo busy na Kazi akanambia HIZO KAZI ZA WATU... inabidi uwe busy na Kazi zako!

Na mm nikaambiwa Siku 1 siwezi kuelewa.... Niende tena Alhamis... Jiii mpaka leo! Jamaa alintafuta karibia miezi miwili... Njoo kuna fursa... Kuna fursa... Nikimuuliza fursa gani... Hasemi... Nikahisi tu kuna Shida pahala!

jamaa ana dhambi sana... Nimemkuta na vibibi vya watu vi3 kaviingiza king anaviimbisha GOOD MORNING Saa 10 jioni! Kuna bibi nimemkuta hana meno ya mbele na hata kutamka hayo maneno ni Shida!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hadi huruma
 
Weka picha yako na bandiko la R.I.P kwenye profile picture yako.....halafu sikilizia...

Kama haelewi katongoze ule mzigo...

Halafu dont forget to give me feedback ya matokeo ya haya mapendekezo yangu..👋👋👋👋
 
Hatimae nami nimefatwa leo. Hivi nnavvoongea alieniitani shangazi angu. Yeye ameshajiunga na ameshaunga wanawe wawili. Nna wasi wasi sijui kama mumewe ameshajiunga au laa. Nimepata darasa ya 1 vizuri leo hapa napigiwa simu tangu saa nane nlipomaliza kupata darasa. Sasa nafikiri nianzie wapi ili kuwakinga wasiendelee kuliwa. Maana yeye tayari na wanawe wawili tayai wameshajiunga. Sina uhakika na mumewe vipi
 
Tayari washamalizwa hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mtu anakuita akakwambia Kuna fursa afu ukimuuliza akupe hata details kidogo akakataa jua Mambo ndo haya.
Huwa wanajua wakikupa tip kidogo tu ya details hutaenda.

Kuweni makini, lugha zao zinafanana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume kukosa msimamo ni majanga
Unachosema Ni Ukweli Kabisa!

Lakini Hadi Naomba Mawazo Ni Kwamba Amefikka Hadi Kudharau Ugali Wangu Halafu Sasa Ni Best Yangu Sana Tangia Kipindi Ni Kati Ya Marafiki Wachache Niliokuwa Nao Ambao Tunajuana Tangia Tunasoma Sasa Nashindwa Nitumie Lugha Gani Ha Makavu Au Niendelee Kuwa Smooth And Smart Kwake Japokuwa Ataendelea Tuu

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Anataka mkatapeliwe wote.... Kuna mtu namjua alipoteza Millions 4 kwa hao Mataperi, akaacha kazi akaanza kushinda kwenye office zao, akaanza kunishawishi Sana na Mimi, but sikupoteza muda wangu hata kutembelea office zao.... Ni Mataperi.. Washenzi tu wameharibu Maisha ya Watu wengi!
 
Wakuu Kwanza Kabisa Naomba Kupata Ujuzi Wenu Jinsi Ya Ku-Deal Na Hawa Ving'ang'anizi Bila Kuharibu Murua Nzima Ya Mahusiano.

Huyu Rafiki Yangu Ni Wa Kike, Nilisoma Nae Huko Zamani. Lakini Sasa Baada Ya Mimi Kupata Ajira (na yeye yupo kwenye ajira) Amekuja Kuwa Ghadhabu Kwangu.

Mwanzo Alinifahamisha Kuwa Kuna Fursa Hapa Mjini Yeye Anaifanya Na Angependa Akutane Na Mimi Anieleze Kwa Undani. Nilifika Ofisini Kwao Na Kama Kawaida Yao "GOOD MORNING" Na Ilikuwa Jioni --- NILISHANGAA [emoji3][emoji3][emoji3]

Tangia Siku Hiyo Nikaona Hawa Ni Wasanii Tu. Hebu Fikiria Nachoma Mafuta 15 KM, Nimetoka Kibaruani Nimechoka, Wanaenda Kunipa Presentation Ya Nusu Saa Tu! -- "Eti Hapa Hutoelewa Tena Rudi Siku Nyingine Tutakuelekeza Zaidi" Nikasema Hawa Hawanipati Tena GADEMITT (in-Lemutuz-Voice)

Nikasepa Pale Lakini Nikasema Lazima Nikawa-Google, DUH!!! Eti Kiingilio Tsh Milioni 5 [emoji36]

Sasa Ni Masimu Yake Kila Mara, Mimi Sitaki! Kila Nikimzungusha, Nikimuambia Hataki Kuelewa! Ni Kama Kademu Kanacho-Force Mapenzi Asee!

Anafikia Mahali Hadi Anaikashifu Sasa Kazi Yangu Eti Inaniweka Sana Busy DAH[emoji17]

Wazee Nimfanyeje Huyu---

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nenda kaliwe huko QNet
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom