Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,727
- 21,715
Mm kuna sehemu nmeitwa kesho, nmeambiwa kuna project anafanya na wa-Malaysia hivyo angependa kunishirikisha mm km rafiki yake.
Cha kushangaza nmemwambia nipe details japo kdg ya hiyo project akasema ni vzr zaid tukikutania ofisini kwako!!!!
Lkn najua yatakuwa hayahaya mambo ya network marketing, ngoja nikaone ni project gan hiyo.