FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Hakuna ubaya wowote kutongoza mtu na dada yake. Niliwahi kumtongoza dada mtu lakini nilikuwa simpendi sana. Nikatongoza mdogo basi mambo yakajipa na nikaachana na mkubwa.
makubwa haya...!
Hakuna ubaya wowote kutongoza mtu na dada yake. Niliwahi kumtongoza dada mtu lakini nilikuwa simpendi sana. Nikatongoza mdogo basi mambo yakajipa na nikaachana na mkubwa.
Jamani wadau nisaidieni, kuna mtu alikutana na mdogo wangu akampenda sana, akamfwatilia bila mafanikio, then akakutana na mimi akachanganyikiwa zaidi na mimi nikasema no sasa karudi kwa mdogowangu tena yani hizi air time za bukukumikumi nianatuma kama hana mawazo, akitolewa nduki anarudi kwangu tena anaanza upya na hajui kama mi na mdogo wangu tunajua anchofanya je huyu mtu tumfanyeje? tuendelee kutumia vijisenti hivyo au tu mtoe nishai? nisaidieni.
waende wote wakose elfu kumi kumi za vocha???
wote watatu hawajatulia.
simlaumu mwanaume kwa sababu bado anabahatisha,hajatembea nao,
Mamushka mmoja kati yenu ampe tu kaka wa watu jamani mtapata thawabu!!
rayb usinivunje mbavu mwana wa mwenzio jamani hahaaa
RayB mie naenda kulala ila nakuachia kifungu hicho umpatie great thinker mwenzio ushauri alioomba kufuatana na hekima zako!
.... he will https://jamii.app/JFUserGuide both of you.....
...FD1, kwani kwenye ma-lovee kuna haja ya kutoleana uvivu tena?? Si mnawekana sawa tu basi? nahisi kama vile huyo jamaa hajui kama hao wadada ni mtu na mdogo wake so kubwa ni wao kumwambia tu kuwa chagua moja we are sisters....kubwa au ndogo. Maisha ndivyo yalivyo ati... acha hasira!!huyo Fataki achaneni nae hana mpango ,kha huyo mhuni aliyepitiliza ,lakini na nyie kwa nn one day yes akimpa appointment mmoja mnaenda wote mnamtolea uvivu
Kuna ubaya gani hilo likitokea?
Hakuna ubaya wowote kwa sababu watakuwa wamefanya kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu.
RayB mie naenda kulala ila nakuachia kifungu hicho umpatie great thinker mwenzio ushauri alioomba kufuatana na hekima zako!
RayB habari ya wewe?Hawa wanawake sijui mabinti ni wamekolea katika kuchuna hao so wakiliwa wote sio mbaya na inawezekana wao ndo wanamchanganya humu wanatuzingua tu. Mpeni bana halafu mlete ripoti ilikuwaje
Kuna ubaya gani hilo likitokea?