Ananipenda mimi na mdogo wangu nisaidieni.

Mamushka umenifurahisha! It seems u guys are pretending n enjoying the game 'buku 10 10', una uhakika gani kama mdogo wako hajamegwa? Ofcourse hawezi kukuambia, n v/v, na yeye sio mjinga wala habahatishi, atahakikisha anawalamba wote! Since u r enjoying the game... Keep on playing!
 
Jamani wadau nisaidieni, kuna mtu alikutana na mdogo wangu akampenda sana, akamfwatilia bila mafanikio, then akakutana na mimi akachanganyikiwa zaidi na mimi nikasema no sasa karudi kwa mdogowangu tena yani hizi air time za bukukumikumi nianatuma kama hana mawazo, akitolewa nduki anarudi kwangu tena anaanza upya na hajui kama mi na mdogo wangu tunajua anchofanya je huyu mtu tumfanyeje? tuendelee kutumia vijisenti hivyo au tu mtoe nishai? nisaidieni.

Hivi umetumia kigezo gani kujua jamaa anampenda sana mdogo wako,na kwako amechanganyikiwa zaidi?...kama bado hajawala basi ni suala la muda tu, MNADANGANYIKA!!
 
Jamani wadau nisaidieni, kuna mtu alikutana na mdogo wangu akampenda sana, akamfwatilia bila mafanikio, then akakutana na mimi akachanganyikiwa zaidi na mimi nikasema no sasa karudi kwa mdogowangu tena yani hizi air time za bukukumikumi nianatuma kama hana mawazo, akitolewa nduki anarudi kwangu tena anaanza upya na hajui kama mi na mdogo wangu tunajua anchofanya je huyu mtu tumfanyeje? tuendelee kutumia vijisenti hivyo au tu mtoe nishai? nisaidieni.

.......Wewe na mdogo wako mnafanya kusudi, mnajua ila naona shida yenu zaidi ni fedha kutoka kwa huyo mwanaume. Hadi airtime mnategemea kutumiwa na mwanaume kweli mna kazi nyie.
Kama mngekuwa serious mngesha mwambia huyo mwanaume hiyo tabia ya kuwataka na huku nyie ndugu si nzuri.

Msipokuwa makini ipo siku wote mtalala na huyo mwanaume na mnaweza wote kujazwa mimba na huyo mwanaume.
 
Jamani wadau nisaidieni, kuna mtu alikutana na mdogo wangu akampenda sana, akamfwatilia bila mafanikio, then akakutana na mimi akachanganyikiwa zaidi na mimi nikasema no sasa karudi kwa mdogowangu tena yani hizi air time za bukukumikumi nianatuma kama hana mawazo, akitolewa nduki anarudi kwangu tena anaanza upya na hajui kama mi na mdogo wangu tunajua anchofanya je huyu mtu tumfanyeje? tuendelee kutumia vijisenti hivyo au tu mtoe nishai? nisaidieni.
inaoneka mko kibiashara zaidi, lkn siku akiwala wote ndo akili zitawazinduka.
 
wewe na mdogo wako mtakuwa mmemaliza four six na form four hivi karibuni! real members wa Jamii forum - home of great thinker hawezi zungumzia buku kumi hapa!
 
Lipeni hizo buku kumi kumi wote wawili, mtajua wenyewe kama kwa cash au mtafanya butter trade
 
Mwambieni tu sio vizuri, ingawa alijilengelesha mwenyewe kwenu, ila mi naomba mumuonee huruma! Labda katoka kijijini, huwezi kujua!
 
Nimejikuta narudi tena kwenye hii thread japo nilishachangia....
ni vitu kama hivi vinafanya wanawake wadharaulike.... kupenda vitu badala ya kujali utu...
Kweli mabinti ambao mnadhani mna mvuto hamuwezi mkasamehe buku kumi za kupewa mkaendelea na maisha yenu?
Siku mtakapopambana uso kwa uso wote watatu - sijui itakuwaje?
 
Heri umewaambia bana. yaani kula buku 10 za mtu hamuoni aibu mpaka unakuja kumwaga hapa upuuzi wenu? Kuweni na busara mkatalieni hela yake kama kweli hamuwezi kumpa anachohitaji kwenu. Hiyo nayo ni aina ya ufisadi. Mnamrubuni kwamba mtampa ndio maana anaendelea kuwapa buku 10, na isitoshe mnamuomba some times,wanawake wa aina hiyo tunawajua mlivyo.
 
huo ni utovu wa nidhamu-ukweli ndo huo.maadili yamepungua.alafu na nyie wadada kama hamumpendi hela yake mnachukua ya nini? huo ni wizi.
 
Leo watu wa humu wa kali kweli kweli :)... I have nothing to add, except remind the thread starter that in order to success in this life dont waste your time on small things and whatever you r doing try to be honest...
 
Nimejikuta narudi tena kwenye hii thread japo nilishachangia....
ni vitu kama hivi vinafanya wanawake wadharaulike.... kupenda vitu badala ya kujali utu...
Kweli mabinti ambao mnadhani mna mvuto hamuwezi mkasamehe buku kumi za kupewa mkaendelea na maisha yenu?
Siku mtakapopambana uso kwa uso wote watatu - sijui itakuwaje?

WoS, hao wanataka hizo vocha za buku kumi (si kidogo hiyo na hapo hajatuambia offer nyingine isije ikawa na kodi ya nyumba analipa)

hapa huyu Mamushka anatafuta tumhalalishie anachofanya....actually she know that she has to STOP that game kama yuko bado sober, lakini kama ndo mambo ya siku hizi....hapo aendelee tu lakini awe tayari kwa threesome at some point.
 
hiyo ndiyo picha halisi ya baadhi ya wadada wa mujini wandugu mjionee!yaani mtu anajiona mjaaanja kuchuna mwanaume-shame aibu bin soni,na hawa ndio wanaosababisha wadada wote tuonekane hivi,mbaya zaidi eti mtu na mdogo wake,hee yaani hata hakuna wa kumkanya mwenzie hapo!na dada mtu anajisifia eti akija kwangu ndo anachanganyikiwa kabisa!!!!sio siri nimeboreka,!!!
 
Guyz nadhani wengine hamjanielewa, mimi nimewaomba mnisaidie cha kufanya. Kwanza kabisa nia yetu c kumchuna na pia hua hatumuombi atu recharge anatuma kila wakati, na c kwamba hatujatulia ndo maana nimeuliza tumchenjie au tufanye nini' kwa ukweli kati yetu hakuna anaempenda. Kuchanganyikiwa na mimi c kumaanisha mi ni mzurii hapana na wala cjifagilí kwani m2 anaweza changanywa na tamaa zake 2, kwa hiyo mnanishauri nifanyeje kwa mwanaume mwenye tabia chafu kama huyo? Tumtokeze au aki2ma vocha zake twe 2nazi rudisha, kwani kilamtu kwa wakati wake alimwambia hataki jamani lakini kaka huyu ni king'ang'a msaada plz.
 
WoS, hao wanataka hizo vocha za buku kumi (si kidogo hiyo na hapo hajatuambia offer nyingine isije ikawa na kodi ya nyumba analipa)

hapa huyu Mamushka anatafuta tumhalalishie anachofanya....actually she know that she has to STOP that game kama yuko bado sober, lakini kama ndo mambo ya siku hizi....hapo aendelee tu lakini awe tayari kwa threesome at some point.
Kaizer.... huyu Mamushka sijui ni minor under the law na ndio maana hajawa na "capacity" kujua zuri na baya na afanye nini katika situation kama hii..kama ni mtoto basi tunamshauri yeye na mdogo wake wakamshtaki kwa wazazi wao au polisi ili fataki huyo ashughulikiwe na vyombo vya sheria.
Naona bado anajitetea na kuendelea kuomba ushauri!
 
huyo kwa jina la kitaalamu anaitwa 'bazazi'
Tena Baradhuri! Fisadi Kiwembe! anataka kuwalamba wote! Mwkeeni tego Mtembezeni 'utupu' akome! Wasiliana na waaandishi wa magazeti ya udaku! Watakusaidia tena nao watauza magazeti yao!
 
Back
Top Bottom