Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

Yote yanawezekana, unfortunately wanaume almost all tuliooa hakuna supply ya tendo la Ndoa inavyotakiwa!

Ndugu yangu, nenda naye taratibu! Inawezekana kabisa ni mwaminifu ila maisha yanamfanya hivyo!

Jaribu kuboresha:

1. Urafiki na yeye - usiwe mtu wa lawama.
2. Usiwe unagomba gomba bila sababu!
3. Kama hana kipato usimbane sana!
4. Wakala wazazi na ndugu zake!
5. Mpende na msaidie issue za watoto!

Ukiyafanya haya kwa uaminifu asipobadilika jua wahuni Wanamla!
Ushauri mzuri
 
Ndio matatizo ya kuiga tamaduni za kizungu na kuacha Tamaduni za kwenu,angalia sasa ungekuwa una wake 2/3 ungekuja kulia lia humu.
Sio tamaduni Mkuu, hata km ukiruhisiwa kuoa mke zaidi ya mmoja,kwa usawa huu wa uchumi utaweza kuwatunza??,km sio watu wengine kukutunzia?.
 
Huko clinic ndio wanajazwa ujinga usimlaumu mkeo bure... au pia kama sio wadau wa njia za uzazi wa mpango huenda anaogopa kubeba mimba wakati bado ananyonyesha... kumbuka six weeks (mwez mmoja na nusu) baada ya kujifungua mwanamke anashika mimba...
 
Mwanamke akijifungua mpe miezi minne ya mapumnziko, mwanaume akili kichwani, kwani hakuna vischana nje huko unaweza kupunguza ugwadu ili kuweka utulivu kwa mkeo. Mm kajifungua leo mwaka mzima na miezi mingi tu sijamgusa toka siku alipobeba ujauzito
Heee makubwa
 
Mmmh huku ni kumtesa mtoto wa watu (mume) mtoto kutembea si miezi 8 kama kawahi sana wanaenda hadi mwaka, muda wote hiyo mtu hapewi haki yake??? Sio poa wanawake muwe na huruma
Yaani watu wana waume wavumilivu mie wangu alivumilia week mbili tu baada ya hapo nikashindwa kuendelea alikua anatia huruma.
 
Yaani watu wana waume wavumilivu mie wangu alivumilia week mbili tu baada ya hapo nikashindwa kuendelea alikua anatia huruma.
Hakunaga kipindi mwanaume anatia huruma kama akiwa anaomba papuchi, halafu sasa umnyime daaah..... inatia huruma!
 
Back
Top Bottom