Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

Naombeni msaada Wa mawazo hivi ni kawaida kwa mwanamke kumnyima mwanaume unyumba miezi mitatu mfululizo kwa kisingizio cha kulea au ndo naibiwa kimya kimya. Naomben ushauri wa ki utu uzima kabla sija mrudisha huyu Binti kwao
Dogo kunyonyesha kisiwe kisingizio anatakiwa akupe tendo ni haki yako
 
Naombeni msaada Wa mawazo hivi ni kawaida kwa mwanamke kumnyima mwanaume unyumba miezi mitatu mfululizo kwa kisingizio cha kulea au ndo naibiwa kimya kimya. Naomben ushauri wa ki utu uzima kabla sija mrudisha huyu Binti kwao
:DUnataka kumbemenda mtoto?
 
Ndio maana mtume karuhusu wake 4, wanawake huwa sometimes wanazidiwa majukumu ila wabishi.

Mzee baba tafuta make wa pili kama dini inaruhusu.
 
Hata ivo wanawake wengi mara baada ya Kujifungua miezi mitatu ya mwanzo

Hupoteza hamu ya Ngono nahii ni sababu vichocheo vya ngono vinakua vipo chini sana.

Badala yake hujikuta mapenzi wanahamishia kwa watoto wao.

Lkn pia, Inaweza kua mtoto sio wako. Mf mtoto anamiezi zaidi ya sita. Lkn mtu anakunyima unyumba katukatu..haaaaa Changamka.

Sasa sijui ww unaangukia wapi Ndugu...nani anajua???
Dr mpe ushauri ulonyooka lasivo mtampoteza mwenzenu asije enda fukuza mtoto wa watu
 
Back
Top Bottom