Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

Wanawake wengi huwa hivo wanasema wanaogopa kubemenda mtoto hasa kwamtoto wakwanza vumilia mara nyingi ndoa.nyingi wakuti huu ndio huwazinaharibika uzoefu wangu nikwamba tatizo huwa tendo tu yani hata mda naww unaweza usiwepo kichwani kwako kaa najambo moja tu kwamba analea zaid yahapo utachochea moto
 
Unahitaji connection Mkuu. Unaishije na mrembo anayekunyima uchi kwa miezi mitatu? 😳😳😳 ulimkosea nini?
Naombeni msaada Wa mawazo hivi ni kawaida kwa mwanamke kumnyima mwanaume unyumba miezi mitatu mfululizo kwa kisingizio cha kulea au ndo naibiwa kimya kimya. Naomben ushauri wa ki utu uzima kabla sija mrudisha huyu Binti kwao
 
Mlioa mna kazi sanaaa..
Yaani miezi mi3 bila mbususu..!!

Kweli NDOA NGUMU.

#YNWA
 
Back
Top Bottom