Ananikera hiki kitabia cha shagalabagala

Ndo nauliza mtu anapewa simple plan kama hiyo anashindwaje kuifuata?
 
Ila malezi pia yanachangia 100% hakuwa na malezi mazur kuhusu usafi uyo na wengne ni kujiendekeza tu na uvivu
mimi na uchafu mbalimbali,alikuwa akija gheto anasema eti humu kuna mwanamke nikimuuliza why sababu eti nyumba safi,sasa kama uko peke yako unakuwa mchafu ukiwa na familia ya watu watano itakuwaje
 
Ndo nauliza mtu anapewa simple plan kama hiyo anashindwaje kuifuata?

Ha ha ha!

Ni nature tu, kuna watu wameumbwa kutofuata utaratibu; enzi zile shule watu unaambiwa uchomekee shati unaacha, siku mkiambiwa sare ni kutochomekea wewe unachomekea.

Wakati tuko boarding kuna vijana walikuwa hawajisaidii vyooni, wamechimba mashimo yao porini wanafanya issue zao huko huko, hata kuoga usiku wanateka maji wanaenda kuoga porini. You can just imagine.
 
Unapenda anavofanya na unampenda pia na unapenda huo urafu wake,5 years na bado umeshindwa kumrekebisha wala kumuacha?
Usitake watu wawe wanafiki hapa..

Yes was clean before... changes zime anza just recently
 

man leo umeniacha hoi...hahahahahah
 
mito njoo uone huyu anakaa na mwanamke miaka mitano bila kumuoa...

Una shangaa muda badala ushangae tatizo... usi itake harusi kwa pupa, utarudi kwenu na taraka... tulia mwanaume aku chunguze wewe, asipo kuoa hata licha ya kwamba mmekaa nae muda mrefu it means you were unsasfactory kwaio wata oa wengine....basically I don't give a damn with how long niko kwenye relationship I give a damn how long will I take to marry.
 
Last edited by a moderator:
Haujatuambia, Mkuu vipi kwa bibi mlandizi pako untidy pia!!!

Siwezi kula ufa mchafu, 5yrs nipo tu nakula ufa mchafu!!!! No huko pako swafi. Shida iko huku kwenye assets mzee
 
kwani mnaishi naye nyumba moja?
je kasoro yake ni hiyo tu au kuna nyingine...

huyo ni mvivu, ogopa sana mwanamke mvivu.. mwambie ni jinsi gani unavyoichukia hiyo tabia akiwa mgumu kubadilika piga chini wasafi wapo wengi tu.

Ana ka uvivu flani hivi , si kai nae ila huwa naenda kutembelea na kaa siku 2 au 3
 
Mmmmmh mvumiliv ,unaupendo wadhat jaman atabadilika tu afu muoe bhana miaaka mitano ingekuwa ndo mie ningeshanunua Pete tena unanivisha barabarani mkuu
 
nishawahi kuwa nae wa hivyo tulishindwana ,mimi kwanza nina kinyaa hata chakula chake nilikuwa naogopa kukila ,kuna wakati anajisahau ndoo ya kuogea anachotea maji ya kuosha vyombo huyo hakufai mwache atafute wachafu wenzake

Hahahahahhaaaa mbav zang ivi hawa wanawake mnavowazalilisha hapa jukwaani ni wa hapa tz au maana naona mapya majan uwiiiii
 
Hahaha. Kwa hiyo mzee, juu umekula suti, ndani soksi tofauti?

Mi kila nikivua viatu napitiliza na soksi zangu bafuni ili nizifue kwa ajili ya kesho kutwa. Discipline yangu kwenye hii issue ni 12/10.

Hahahahaaaa,ila itabidi system ibadilike majukum Kama hayo apewe housegirl ili amuoneshe kazi mama mwenye nyumba Kama hajui wajib wake
 
Hahahahaaaa,ila itabidi system ibadilike majukum Kama hayo apewe housegirl ili amuoneshe kazi mama mwenye nyumba Kama hajui wajib wake
Haha. Unamaanisha kufua soksi nao ni wajibu wa mama mwenye nyumba? Nuh! Soksi zenyewe nyeusi. Sometimes nazitumia kama shower cloth, nikimaliza nakamua naanika huko huko.
 
Haha. Unamaanisha kufua soksi nao ni wajibu wa mama mwenye nyumba? Nuh! Soksi zenyewe nyeusi. Sometimes nazitumia kama shower cloth, nikimaliza nakamua naanika huko huko.

Hahahajaaaaa ,wewe acha tu ujue kunawanaume wachafu hapa nawashangaa wanamsakama dada was watu APA ,wengne hawajui kufua tena mabachela wavaa wk akivua kiatu hamkai
 
Siwezi kula ufa mchafu, 5yrs nipo tu nakula ufa mchafu!!!! No huko pako swafi. Shida iko huku kwenye assets mzee

Heeeeeehhh unaweza ukawa Hu notice kuwa hakupo pouwa just bcoz unapumzika hapo....!!!
Me nna rafiki yangu alikuwa na kademu kazuriiii ila sasa!!!!.....kachafuuuu hatarii, yani kwake kuoga mbindeee!!! Kananuka jasho, mdomo kwake kuchafuuu....
Ila mshkaji anavumilia tu!!! alivokuja kumuacha eti ndo anagundua kuwa kuwa kademu Kananuka khaaaa!!!
 
Hahahajaaaaa ,wewe acha tu ujue kunawanaume wachafu hapa nawashangaa wanamsakama dada was watu APA ,wengne hawajui kufua tena mabachela wavaa wk akivua kiatu hamkai
Sasa mbona unatusema na wewe? Sio kupenda kwetu bana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…