Ananiamsha saa 10 alfajiri niwahi daladala nisichelewe kazini,kumbe huku nyuma!Daa

kuwa rafiki yangu nitambulishe kwa mkeo nije hom mara kadhaa ajue kuwa wewe ni rafiki yangu na mimi niithibitishe kuwa huyo ni mkeo.Baada ya hapo kazi yako ni kuniambia najiandaa kutoka kisha niachie mimi huyo kijana akiingia nnaye
 
Bora uache tu kufatilia maana unatafuta matatizo makubwa sana pengine yatakayokuharibia maisha
 
Fanya kama ulivyoambiwa juu....chukua off kaa pembeni angalia kipi kitatokea, au weka private investigator hapo unampa hata buku akupe habari. Jamaa akitia nanga tu anakuarifu unakuja ona fumanizi au hata picha zatosha.
 
Does it worthy doing that!?

Duh! Aibu aiseeeh!

Kama ipo ipo tu atakuja kujua naturally.
 
1. Mpenzi/mke wako
2. Unalala nae usiku kucha
3. Anakuamsha alfajiri kuwahi kazini
4. Ukitoka tu kijana anaingia...
Unganisha dot ya 2 na 4 utagundua kosa unalo wewe. Unatutia aibu wanaume wenzio
 
Kwanza Hizo kazi zinaenda vipi kama upo job ilhali unajua wife anachezea dyudyu..tena home kwako..
 
Piga kazi mkuu kwani ushahidi huna wa kama mtu anakugongea, za mwizi ni arobaini kikubwa ukirudi wewe gegeda kwa kiwango stahiki kama anakupa poa lakini kama udhuru mwingi hapo ndio unaweza ukaunganisha dot.(pia ni wakati mzuri wa kujitathimini ufanisi kitandani kiasi kwamba mtu upo nae usiku kucha alafu asubuhi kidume kinaibuka au kuna mgogoro unataiwa upate suruhisho). Btw huyo anaekuambia kila ukiondoka kuna kijana anakuja ina maana yeye hana usingizi kila siku wala shughuli za kufanya mjini yaani kazi yake ni kumwangalia mkeo kama camera ya CCTV kila siku ukiondoka kwenda ofisini. PIGA KAZI MKUU
 
Niliona anafanya vizur siku za kazi kuniamsha mapema,kumbe sivyo!!kuna kijana nasikia anakujaga alfajir ninapotoka.kumuuliza wife nashindwa na huyo kijana ninamtaman vibaya sijui nitamnasaje.Naombeni mawazo na ushaur jamani.
Bwana weye unataka kutia watu dhambi sasa,ivi kweli hujuinini chakufanya kweli mpaka ukahakikisha au huyo alokwambia hawezi kukusaidia mbinu kama anakupenda kweli.... Angalia sana sio kila unaloambiwa ni kweli,chakufanya huyo alokwambia mwambie atakua kwenye nafasi nzuri SANAAAAAAAAA yakukusaidia kujua ukweli...
 
Niliona anafanya vizur siku za kazi kuniamsha mapema,kumbe sivyo!!kuna kijana nasikia anakujaga alfajir ninapotoka.kumuuliza wife nashindwa na huyo kijana ninamtaman vibaya sijui nitamnasaje.Naombeni mawazo na ushaur jamani.

imekula kwako
 
Kumbe huna ushahidi ? usikurupuke bila kuwa na ushahidi....
 
Omba ruhusa kazini hata siku tatu uvizie, kutmbewa sio jambo dogo ohooo

inawezekana kuomba ruhusa but nimepewa majukumu mazito,kutokana na kazi ninayofanya nikikosekana hasara kubwa sana itaingia na boss ndo amenikabizi office yeye yupo nje kikazi.nafasi nilionayo ni weekend tu.au shughuli zote za kikazi nisimamishe kwa siku nitakazotumia.
 
Back
Top Bottom