Ananiamsha saa 10 alfajiri niwahi daladala nisichelewe kazini,kumbe huku nyuma!Daa

Niliona anafanya vizuri siku za kazi kuniamsha mapema, kumbe sivyo! Kuna kijana nasikia anakujaga alfajiri ninapotoka kumuuliza mke wangu nashindwa na huyo kijana ninamtamani vibaya sijui nitamnasaje.

Naombeni mawazo na ushauri jamani.

pole kwa masaibu lakini hebu rekebisha lugha kidoogo.ati "unamtamani huyo kijana?"
 
Back
Top Bottom