Noname
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 1,269
- 29
Wadada wasagaji wana confidence sana! So don't be so sure with what you expect to hear from her!
and how did u know that? 🙄
Wadada wasagaji wana confidence sana! So don't be so sure with what you expect to hear from her!
Wadada wasagaji wana confidence sana! So don't be so sure with what you expect to hear from her!
and how did u know that? 🙄
Kwani kuna ubaya gani mwanamke kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwenzie? Hakuna jipya hapo.
Huyo dada hakuwa hata na sababu ya kuleta hiyo issue kwa mwanakijiji kwani jibu lake ni yes or no. Kwa kuanza kuomba ushauri inaonekana hana msimamo wa anachokitaka au hajuo anachokitaka; na kwamba akishauriwa awe karibu na huyo anayemkonyeza, basi atakuwa naye.
tehe tehe!mwanakijiji nipe no ya huyo dada mkonyezaji au mwambie aje kwangu,tutamalizana in apeacefull mana,it will be a gals tok,count on me.ASAP
he happened to date one.and how did u know that? 🙄
lakini hii tabia ipo sana kwa sasa kuna binti ninafanya nae kazi mpaka watu wameshamzoea na yeye haoni so kutoka na wadada ..yuko busy kutongoza kama wanaume na
hata story zake utasikia yule demu lazima nimfukuzie na anatoka na kila aina ya warembo.. inasikitisha na kutisha !
Kizazi kinateketea!
Acha ubazazi Ama, yaani uko tayari kukubaliana na kila upuuzi unaozuka duniani? Kuna ubaya mkubwa maana hata hayawani wa porini hawana upuuzi huo sembuse mwanadamu mwenye akili?
Kama huoni ubaya basi ujue kuwa hao Hayawani wana akili zaidi kuliko wewe Mwanadamu na hapo utakuwa na faida gani? Utakuwa na Mchango gani chanya kwa kizazi hiki?
sasa wanawake si wengi kuliko wanaume jamani?
wanaume wenyewe na uchache wao bado wameamua kuwa wanawake tena
so.................acha sodoma na gomora iendelee kuiteketeza dunia
Kwani kuna ubaya gani mwanamke kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwenzie? Hakuna jipya hapo.
Huyo dada hakuwa hata na sababu ya kuleta hiyo issue kwa mwanakijiji kwani jibu lake ni yes or no. Kwa kuanza kuomba ushauri inaonekana hana msimamo wa anachokitaka au hajuo anachokitaka; na kwamba akishauriwa awe karibu na huyo anayemkonyeza, basi atakuwa naye.
Bado hujanionyesha ubaya zaidi ya kurudia rudia neno hayawani.
Kwa mfano ukiniuliza kuna ubaya gani kwa mwanaume wawili kuwa na uhusiano wa kingono nitakujibu kuwa hawa wataishia kutifuana sehemu za haja kubwa. Hii kisayansi ina athari kwa sababu inasababisha hajakubwa kuingia kwenye uume na kuwa kama wanainoculate bacteria kutoka kwenye kinyesi na kuipeleka kwenye uume. Pia inaleta michubuko ambayo inasababisha unwanted bacteria kupenya na kuingia kwenye damu ambapo wataproliferate sehemu wasiyotakiwa. In all muingiliano wa mwanaume na mwanaume au mwanaume kumwingilia mwanamke kinyume na maumbile unaleta infection.
Narudia tena, kuna ubaya gani mwanamke na mwanamke wanapokuwa na mahusiano ya kingono?
we Ama ushauri gani huo?
Bht acha tu bestlady wangu ...mie nimejaribu kumuuliza anakosa nini akadai hana feeling za kike ambazo sijui yeye anadhani ni zipi...
na anadai alianza kamchezo kachafu akiwa std seven ina maana alikuwa mtoto sana ..na anadai mmoja katika family yake sitataja alikuwa na tabia hiyo ..
mmh ati yeye anasema amerithi na anakuwa confotable zaidi akiwa na jinsia yake
cha kushangaza anawachukua watu wenye heshima zao huwezi kudhani na kuamini
Hizi si dalili njema ni hakika mwisho wa dunia u karibu..
Hapo kwenye red don't judge a book by looking on its cover...!!!
No Brother mie huwa nashangaa kweli kabisa inakuwaje haya maswala sipati majibu..🙂kuna mtu ukimwangalia na mambo yake ni vitu viwili tofauti
FL1 mtu anaweza kuwa na heshima zote ila mambo yake ya sirini ni tofauti kabisa! Na ndio maana yanalindwa na kuta nne! Laiti kama kuta zingekuwa zinaongea, tungeshaa sana kusikia ushuhuda wa yanayotokea huko!