Analazimisha nimuoe!

Analazimisha nimuoe!

Halafu maisha ya chuo hua yanawadanganyaga sana hawa wadogo zetu.
Yaani kwao kila kitu wanakichukulia kiurahisi rahisi Kimbembe hua wanapomaliza masomo yao nakuja kukutana na maisha halisi ya kitaani akili ndio inaanza kuwakaa sawa.

Maendeleo hayana chama
yes We exist
 
Chuo cha afya mzee!!au unataka nikutajie kozi,wengi mmekalili kwamba mpka upite advance sio ivoo mkuu zama zimebadilika
Nashukuru umeniita mzee mana kwa huo umri wako mimi ni mzee mfawidhi.
Hesabu rahisi.
7-14 primary
14-18-o level
18-20-A-level (Tuishie hapa)
kama ulimaliza O-level bila A-advance
18-20 -certificate
20-23-diploma
Conclusion: Unasoma certificate mwaka wa tatu na sio chuo mwaka wa tatu
 
Maajabu ya JF uzi wa leo una 21 uko mwaka wa tatu

Kesho utaleta uzi wa mjukuu wako kupewa mimba akiwa darasa la saba

Kesho kutwa unatafuta wa kukuoa
ahhaha ,kiufupi nipo Chuo cha kat!
 
Halafu maisha ya chuo hua yanawadanganyaga sana hawa wadogo zetu.
Yaani kwao kila kitu wanakichukulia kiurahisi rahisi Kimbembe hua wanapomaliza masomo yao nakuja kukutana na maisha halisi ya kitaani akili ndio inaanza kuwakaa sawa.

Maendeleo hayana chama
Sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru umeniita mzee mana kwa huo umri wako mimi ni mzee mfawidhi.
Hesabu rahisi.
7-14 primary
14-18-o level
18-20-A-level (Tuishie hapa)
kama ulimaliza O-level bila A-advance
18-20 -certificate
20-23-diploma
Conclusion: Unasoma certificate mwaka wa tatu na sio chuo mwaka wa tatu
Tanzania Hii, Umemvua Nguo Bila Huruma
 
Nashukuru umeniita mzee mana kwa huo umri wako mimi ni mzee mfawidhi.
Hesabu rahisi.
7-14 primary
14-18-o level
18-20-A-level (Tuishie hapa)
kama ulimaliza O-level bila A-advance
18-20 -certificate
20-23-diploma
Conclusion: Unasoma certificate mwaka wa tatu na sio chuo mwaka wa tatu
broo huwezi jua labda nili repeat module, usha del hesabu zako
 
Back
Top Bottom