Analazimisha nimuoe!

Analazimisha nimuoe!

Chuo cha afya mzee!!au unataka nikutajie kozi,wengi mmekalili kwamba mpka upite advance sio ivoo mkuu zama zimebadilika
Ndio shida ya elimu ya Tanzania hii,
Wakati wewe unajisifu kuwa huko afya hamuandiki essay, madaktari bingwa wao wanaadika vitabu na kuuza maelfu ya nakala duniani na kupata fedha.
 
Uzi wenyew uko ivi ni ni kijan nina miaka 21,nasoma Chuo now mwaka wa tatu ,sasa kuna msichana ambaye nilianzanaye mahusiano miaka miwili iliyo pita,sasa kufika mwaka huu analazimisha nimuoe ,anasema hata kam nasoma aje tupange ghetto tuanze maisha ivo ivo ,ye anasema mambo mengine tutajuanaga mbele ya safari,sasa wana jf naombeni ushauri please ,maana mi naona ananichanganyia mafaili tu!!mi nataka niachane naye ,mnasemaje ,ushaur wenu please!
MWALIMU_MKUU WA HAPO CHUONI KWENU ANASEMAJE KUHUSU HILI LABDA ?

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Mwaka 2010 nikiwa chuo mwaka wa pili, nilipata mtihan kama wako,
Ila nafikiri jibu sahihi ni hili,
Usioe,
Kama unampenda mtambulishe kwa ndugu zako.
Maliza Chuo, kuwa nae pia ukiwa umeshapata kazi na yeyw apate pia,
Kula ujana kidogo..
Kama ukimkumbuka ukiwa na hela zako wakat unakula ujana..
Basi ni mke sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2010 nikiwa chuo mwaka wa pili, nilipata mtihan kama wako,
Ila nafikiri jibu sahihi ni hili,
Usioe,
Kama unampenda mtambulishe kwa ndugu zako.
Maliza Chuo, kuwa nae pia ukiwa umeshapata kazi na yeyw apate pia,
Kula ujana kidogo..
Kama ukimkumbuka ukiwa na hela zako wakat unakula ujana..
Basi ni mke sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
thank bro kwa ushaur
 
Mwambie asubiri upate kazi muoane kama hataki basi mwambie akutunze yeye .
Maisha ya sasa na halii hii huu ni uchizi.
Hiyo sio ndoa hiyo sasa ni majuto ni mjukuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom