Analazimisha nimuoe!

Tumilaujanja

Member
Jan 7, 2019
75
95
Uzi wenyew uko ivi ni ni kijani nina miaka 21,nasoma chuo now mwaka wa tatu ,sasa kuna msichana ambaye nilianzanaye mahusiano miaka miwili iliyo pita,sasa kufika mwaka huu analazimisha nimuoe ,anasema hata kama nasoma aje tupange ghetto tuanze maisha ivo ivo ,ye anasema mambo mengine tutajuanaga mbele ya safari,sasa wana jf naombeni ushauri please ,maana mi naona ananichanganyia mafaili tu!!mi nataka niachane naye ,mnasemaje ,ushauri wenu please!
 

Mgugu

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
2,154
2,000
Siku hizi vijana mnaingia shule watoto sana, kama digrii yako miaka mitatu mwaka huu unaingia mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu maisha ya chuo hua yanawadanganyaga sana hawa wadogo zetu.
Yaani kwao kila kitu wanakichukulia kiurahisi rahisi Kimbembe hua wanapomaliza masomo yao nakuja kukutana na maisha halisi ya kitaani akili ndio inaanza kuwakaa sawa.

Maendeleo hayana chama
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom