Analazimisha nimuoe!

Sioni kama kuna sababu ya kukushauri, zaidi ya kuchapwa bakora ili uache mambo ya kijinga....
 
Yawezekana hakuna essay lakini kuna punctuation. Sasa wewe tuonyeshe ni wapi umepunctuate hiyo habari yako.

Kama unasoma masuala ya afya na huwezi kujieleza, huko hospitali wagonjwa utawaambia nini?
afya mzee huk hatunaga essay
 
Back
Top Bottom