Tumilaujanja
Member
- Jan 7, 2019
- 75
- 15
- Thread starter
- #81
ahahahaha c.medicine
ahahahaha c.medicine
OKMwambie asubiri upate kazi muoane kama hataki basi mwambie akutunze yeye .
Maisha ya sasa na halii hii huu ni uchizi.
Hiyo sio ndoa hiyo sasa ni majuto ni mjukuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
dah,mi sitak kufata ambacho yye anakihitaji ,wakat mi sihitajiMuoe huyo kaka kwani halipi?
sawa!!!!;;;;;Viboko pamoja na kazi ngumu
wewe bwana.... Daaah
Baada ya form four unaweza kwenda chuo kusoma diplomaMatangopori
aya mkuu,,Miaka 21
mwaka wa3 how iz
it come?,,Ingekua
Kenya sawa coz
hakunaga Form5&6
If this appaling arrangement is for bachelor level. Pathetic..ni kama mwandiko wa mtoto wa form 4 failureUzi wenyew uko ivi ni ni kijan nina miaka 21,nasoma Chuo now mwaka wa tatu ,sasa kuna msichana ambaye nilianzanaye mahusiano miaka miwili iliyo pita,sasa kufika mwaka huu analazimisha nimuoe ,anasema hata kam nasoma aje tupange ghetto tuanze maisha ivo ivo ,ye anasema mambo mengine tutajuanaga mbele ya safari,sasa wana jf naombeni ushauri please ,maana mi naona ananichanganyia mafaili tu!!mi nataka niachane naye ,mnasemaje ,ushaur wenu please!