Anakasirika simpost mitandao ya kijamii.

its digital era ....mara moja moja kwa afya sio mbaya angekuwa hakupost apo sawa ila kama anakupost give her some ..... vitu vidogo tu ndo vinawaridhishaga haya maua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtagombana sababu ya kitu kidogoo! We mpost hapo aridhike basii! We huwa unajipost mwenyewe tuu!
 
Kama yeye anakupost nawe fanya hivyo on your own risk...

Though ni kheri muwekana status au Dp kwenye whatsapp kuliko social media zingine ambazo mtu yoyote anaweza kuona... kuna watu hutumia mambo ya watu wengine vibaya na kwa shari...


Cc: mahondaw
 
Okay, asante kwa mchango
 
Kupostiana kwenye mitandao ni utoto maana haya mapenzi ya sikuhizi hayana guarantee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…