MeruA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 1,390
- 2,153
Lini mapenzi yalikuwa na guarantee?Kupostiana kwenye mitandao ni utoto maana haya mapenzi ya sikuhizi hayana guarantee
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini mapenzi yalikuwa na guarantee?Kupostiana kwenye mitandao ni utoto maana haya mapenzi ya sikuhizi hayana guarantee
Hamna chief, hawezi fikiria hukoUsije kuwa mtoa mada ni wale jamii ya "nyumba nyingi" ndio maana mrembo pini kiasi anataka apostiwe ili ajihakikishie kwa zile pini kali sana sio kitu kwako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikimjua mimi si inatosha chief
Kamaanisha hayaamikini, kumwagana dakika sifuri tu
Enzi za pontio pilato
Hapana chief, huyu ndiye niliyeamua nitulie nayeKwa hiyo mkuu unataka tukupe ushauri katika hilo?like seriously,utakuwa unao zaidi ya huyo,yeye yupo na wewe tu,ni hayo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuuKabisa chief
Yupo vizuri kiukweli, ila kupostiana postiana mitandaoni naona uduanziKama ana sura ya kupostika mpost kama hana sura ya kupostika nakushauri uache maana wanawake wengine sana sura za kuzuona chumbani tu siyo kupost
Okay, asante kwa mchangoBrother inaonesha una makoloni pemben unaogopa kuvuruga, kama una malengo naye mbona issue ndogo tu
Ndio ad aombe jmn? Mapenz n kufanya kitu kwa mwenza wako kutoka moyoni sio kwa msukumo, hapo jamaa akimpost ni kama kalazimishwa na sio upendoKama huna cha kuficha mpost aridhike
Mapenzi kuridhishana buana
afanye kitu cha msingi atapostiwa tuAcha siasa, mpost mtoto Dunia ijue anapendwa.
Uko moyon nani atamuona sasa????
Acha habar za kizaman
Aaaahh mkuu sidhan kama.muda wote hamna chamaana ambacho hajafanya.afanye kitu cha msingi atapostiwa tu
Teh TehAcha siasa, mpost mtoto Dunia ijue anapendwa.
Uko moyon nani atamuona sasa????
Acha habar za kizaman
Jiamini wewe, hao wanaosema kupostiana postiana ni ushamba ni defense mechanism wanaficha mambo mawili moja, si waminifu yani wanazaidi ya mtu mmoja so akipost uyu akiona yule tayali tatizo, jambo la pili hawajiamini muonekano wao sasa basi kauli ya kupostiana postiana ni ushamba ndio kauli yao kuficha madhaifu yao kama unajiamini na unamwamini mwenzio kwanini uogope mpost kwani kinaharibika nini ukimpost as long as hakuna tatizo post tu tusiishi kwa maneno ya kuambiwa, wengine ni wapidhani wa jambo furani kimaslahi nalo mfano wewe ebu toa sababu yenye mashiko kwanini utaki umposti mwenza wako.Yupo vizuri kiukweli, ila kupostiana postiana mitandaoni naona uduanzi