Anakasirika simpost mitandao ya kijamii.

Anakasirika simpost mitandao ya kijamii.

Mkuu, sikushauri umpost endelea kumkazia hivyo hivyo. Mapenzi si mitandaon kujionesha. Siku utakayompost ni siku utayojihakikishia ni Mkeo wa ndoa kabisa.
 
Jiamini wewe, hao wanaosema kupostiana postiana ni ushamba ni defense mechanism wanaficha mambo mawili moja, si waminifu yani wanazaidi ya mtu mmoja so akipost uyu akiona yule tayali tatizo, jambo la pili hawajiamini muonekano wao sasa basi kauli ya kupostiana postiana ni ushamba ndio kauli yao kuficha madhaifu yao kama unajiamini na unamwamini mwenzio kwanini uogope mpost kwani kinaharibika nini ukimpost as long as hakuna tatizo post tu tusiishi kwa maneno ya kuambiwa, wengine ni wapidhani wa jambo furani kimaslahi nalo mfano wewe ebu toa sababu yenye mashiko kwanini utaki umposti mwenza wako.
Huyu ni pambo langu mimi ndani, wewe wa mtandaoni umuone ili iweje??
 
Mkuu, sikushauri umpost endelea kumkazia hivyo hivyo. Mapenzi si mitandaon kujionesha. Siku utakayompost ni siku utayojihakikishia ni Mkeo wa ndoa kabisa.
Asante kwa mchango chief
 
Back
Top Bottom