Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,165
Acha siasa, mpost mtoto Dunia ijue anapendwa.
Uko moyon nani atamuona sasa????
Acha habar za kizaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha siasa, mpost mtoto Dunia ijue anapendwa.
Uko moyon nani atamuona sasa????
Acha habar za kizaman
Poa poaaAsante kwa mchango chief
Hapana aiseeNitumie picha yake nimpost.
Hapo ni kutwanga maji kwenye kinu, bora uvunge tuMimi ninampost halafu namtag, nkioona hacoment naingia kwa id yake naanza kukoment.
Sitakagi ujinga.
Kamaliza kitambo sana
Ni mkubwa tu chiefAna umri gani
Wala sio hivyo, namuheshimu sanaBwana kupostiwa raha. Watu wanajua kabisa you're taken. Sio mambo za kujifanya ooh sipendi mitandao kumbe umetupanga kama nyanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo yake tu, na kama kumpenda analifahamu hiloKwani ukimpost itakuwaje mkuu mbona inshu ndogo sana we mpost2 ili awe naimani kuwa yupo pekee kwako maana imani yake ndio imemtuma hivyo kuwa ukimpost ndio ataamini unampenda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana kupostiwa raha. Watu wanajua kabisa you're taken. Sio mambo za kujifanya ooh sipendi mitandao kumbe umetupanga kama nyanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee lazima apostiwe, kura nyingi ziko kwake.Sasa mkuu kama anataka kupostiwa si umpost tu jambo dogo tu hilo unashindwa kumridhisha? Only if una malengo one
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna malengo, muda mwingine mapenzi ya kufuata macho ya watu sioSasa mkuu kama anataka kupostiwa si umpost tu jambo dogo tu hilo unashindwa kumridhisha? Only if una malengo one
Sent using Jamii Forums mobile app