PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
- Thread starter
- #41
Haha! Sawa, asantemkuu pambana na hali yako tu
Haha! Sawa, asantemkuu pambana na hali yako tu
Nimekusoma chiefits digital era ....mara moja moja kwa afya sio mbaya angekuwa hakupost apo sawa ila kama anakupost give her some ..... vitu vidogo tu ndo vinawaridhishaga haya maua
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku uraiani pia wapo
Okay, missMtagombana sababu ya kitu kidogoo! We mpost hapo aridhike basii! We huwa unajipost mwenyewe tuu!
Sometimes sio issue ya kujiamini, pengine ni uamuzi tu wa mtu aliojiwekea
Acha siasa, mpost mtoto Dunia ijue anapendwa.
Uko moyon nani atamuona sasa????
Acha habar za kizaman
Mwee!Hapana aisee
NashangaaAcha siasa, mpost mtoto Dunia ijue anapendwa.
Uko moyon nani atamuona sasa????
Acha habar za kizaman



mapenzi bhnaNzur sana kaka..uhal gan aseeeHabari za siku mkuu...