Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,733
- 4,044
07697635538Nipe namba yake nimpe hai
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mimi ninampost halafu namtag, nkioona hacoment naingia kwa id yake naanza kukoment.
Sitakagi ujinga.
Hapana
Asante kwa mchango
Na uaminifu wote ninaompa, akiwaza huko kafika mbali
Kabisa chiefKupostiana kwenye mitandao ni utoto maana haya mapenzi ya sikuhizi hayana guarantee
Ila kumbuka, sio mtandao mmoja tuMost whatsap half ficha watu wasione zaidi ya yy .mwenyewe.....weka picha hata 20 ila only she can see.... Ndio dawa yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa mchango chiefNi vyema kuwa na tabia ya kupost picha za girls hata wakiwa rafiki zako , kama kwenye birth day au unaweza post kumbless mtu chochote....hi itakuondolea doubt kwamba ukipost jinsia tofauti watu wasi judge sana!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije kuwa mtoa mada ni wale jamii ya "nyumba nyingi" ndio maana mrembo pini kiasi anataka apostiwe ili ajihakikishie kwa zile pini kali sana sio kitu kwako!Vunga tu