NEW NOEL
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 863
- 409
Ndio yule mwenye Garage......hivi Obama anaulazima wa kusaidia?
Walishawahi kumuhoji siku moja kuhusu kaka yake kumsaidia atoke..alinifurahisha jibu lake, alisema 'Barack ana majukumu mazito zaidi na watu wengi wa kuwatumikia zaidi ya George'!
Kweli jibu zuri.....usitumaini cha ndugu....lakini kuna watu hawataki kuamini hii.
Kama ndugu yake tuu ni hivyo sasa unafikiri atakuwa na fikra gani kuhusu Tanzania? Huyo ndiye ambaye kule kwenye dhifa nasikia mkulu alisema "We love you dearly..."
Huyu jamaa ni mzungu na hana hisia zozote kuhusu maskini zaidi ya maslahi ya Taifa lake, tatizo tunapenda kujiliwaza.
KIla mtu na alichopangiwa na Mungu duniani halafu msimlaumu Obama kutoisaidia Kenya na familia yake waishi kama ulaya vile lakini sheria za Marekani hazimruhusu hata kidogo KAtiba .
kuna cha kujifunza hapa! Sio kama huku mtu anakuwa raisi watoto wanageuka mamilionea, ukoo mzima unaanza kutamba, mashemeji, wajomba hadi wadogo wa maclassmate wanakuwa na access ya moja kwa moja kwenye hazina ya nchi!Walishawahi kumuhoji siku moja kuhusu kaka yake kumsaidia atoke..alinifurahisha jibu lake, alisema 'Barack ana majukumu mazito zaidi na watu wengi wa kuwatumikia zaidi ya George'!
jamani kwani kuzaliwa pamoja ndio kusaidiana ????wengine ni maguinia ya maviati hata ukilisaidia haliendelei mbele linabaki kusema kaaka yangu ni raisi wa dunias tupa kule???Ndio yule mwenye Garage......hivi Obama anaulazima wa kusaidia?
KIla mtu na alichopangiwa na Mungu duniani halafu msimlaumu Obama kutoisaidia Kenya na familia yake waishi kama ulaya vile lakini sheria za Marekani hazimruhusu hata kidogo KAtiba .