Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
kweli kabisa, tena kuna ndugu hawasaidiki jamani, anaebisha anyooshe kidole.jamani kwani kuzaliwa pamoja ndio kusaidiana ????wengine ni maguinia ya maviati hata ukilisaidia haliendelei mbele linabaki kusema kaaka yangu ni raisi wa dunias tupa kule???