klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,140
Mpwapwawaalabu wanaishi wapi?
Mpwapwawaalabu wanaishi wapi?
Mpwapwa
Wanakula nini? unajua nina mpango wa kuowa mpwapwa? fungukahao kweli sidhani kama wanakula sambusa
Wanakula nini? unajua nina mpango wa kuowa mpwapwa? funguka
Mimi ni raia wa Zimbabwe bana, kiswahili nimejifunza wakati tunaleta misaada bongo tukuowa ndo kufanya nini?dah doctor wako ana kazi ya ziada
Wanakula nini? unajua nina mpango wa kuowa mpwapwa? funguka
Mimi ni raia wa Zimbabwe bana, kiswahili nimejifunza wakati tunaleta misaada bongo tu
hehehe Lucky me! nitakuPM shem ili unipe maelezo zaidi kama braza hatomindhongera sana. Mpwapwa tunakula vitu laini laini tu.
Sema shemshemmm
!!
hehehe Lucky me! nitakuPM shem ili unipe maelezo zaidi kama braza hatomind
wewe unafkiri daraja la kigamboni nani katoa msaada? Mimi na marehemu waifu wa Tchangirai ni cousins, gari langu lina bendera ya ikulu ya zimbabwe. Unataka viza ya zimbabwe?hehe zimbabwe na bongo wapi wanahitaji msaada?sema ulivyotoroka kwenu, haijalishi unajitahidi na utaweza tu.
Sema shem
Ok acha nitume fasta. Utakuja kunipokea kituo cha basi?haya na wewe pm yako isichelewe.
Ok acha nitume fasta. Utakuja kunipokea kituo cha basi?
Nitakuzawadia ice cream kwa hii post yako, si bado unapenda hii kitu?nikikuona shem langu la ukwehe nackia burudani kabisa.
hehehehe bora ukuje na tuktuk halaf dereva ukuwe wewe ili tupate kutaniana kishemejiwewe tena! Hata ukitaka nikufate na kibajaji sema
Nitakuzawadia ice cream kwa hii post yako, si bado unapenda hii kitu?
hahaha dah skuona hii, nitajibu nekst time aisee,Deskmate, kumbe uko huku?
unafanya nini na coussin wangu?