Anaitwa Cameron sio Cameroon.

Anaitwa Cameron sio Cameroon.

Napenda kuwajulisha wengi hapa JF kuwa waziri wa Uingereza anaitwa David Cameron na sio Cameroon kama wengi mnavyo andika hapa. Cameroon ni nchi ya kiafrica huko Africa ya kati.asanteni.
Nakusalimia mkuu,
Asante kwa kutuelewesha hata mie nilikuwa mmojawapo!
 
Back
Top Bottom