Anaitwa Cameron sio Cameroon.

Nipo shem, najua leo bro yuko araundi basi hauoni mtu yoyote.
Pia nina salam za deskmate, namsubilia apa apa

shem bro wako mwenyewe full mikausho. Lol. Tutafika kweli? Mwali yupo business forum ila atafika hapa punde.
 
heheeh hii post ebu ifafanue? naona kama kuna maslahi apa. Njoo huku pembeni nikusuluhishe wewe peke ako kwanza.
Deskmate amefungua biashara gani tena? mbona unanistua shem
 
Hivi deskmate wako yupo?
 
heheeh hii post ebu ifafanue? naona kama kuna maslahi apa. Njoo huku pembeni nikusuluhishe wewe peke ako kwanza.
Deskmate amefungua biashara gani tena? mbona unanistua shem

kwani we slow learner shem? Mwali mtaji wake wa kacholi unayumba, anatafuta angle investor.
 
Yupo, na huruhusiwi kuulizia suala zaidi kuhusu deskmate, yupo under my protection.
haya rudi kwenye mada halaka

nimegundua una matatizo ya r na l! Kule ulisema mwari hapa halaka lol nina ufumbuzi wa tatizo lako.Nione halaka
 
Back
Top Bottom