Natafuta Fundi Pikipiki mwenye uzoefu, mwaminifu na mweledi wa kazi yake, ambaye yuko tayari kufanya kazi nasi.
📍 Eneo: Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam
Mtu mwenye sifa hizo na ambaye yuko tayari kufanya kazi, tafadhali wasiliana nami kupitia:
📞 0657 736 223
📧 wilsonbernard255@gmail.com
Kwa...
Tunatafuta fundi pikipiki mwenye uzoefu wa kufanya service na matengenezo ya pikipiki za aina yoyote.
📍 Location: Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam.
Utapata mshahara wa kuanzia kwa miezi 3, kisha tutaendelea na makubaliano kulingana na maendeleo ya biashara.
📞 Uko tayari? Piga simu 0657 736...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.