Tunatafuta Fundi Pikipiki mwenye uzoefu wa kufanya service na matengenezo ya pikipiki za aina yoyote.
📍 Mahali: Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam
Tunatafuta mtu mwenye:
✅ Uzoefu wa kufanya service kwa umakini
✅ Nidhamu, uaminifu na kujituma
✅ Ari ya kukua pamoja na biashara
💼 Malipo
Utapata mshahara kama Posho, kisha tutaendelea na makubaliano kulingana na maendeleo ya biashara.
Kama unaamini una uwezo na uko tayari kuanza kazi mara moja, wasiliana nasi kupitia:
0657 736 223
Karibu tuanze safari ya mafanikio pamoja.