Anafanana sana na Mbowe

Pius msekwa na anna abdallah, makambaz, shellukindos..

huu ugonjwa ma makambwa, mwinyi, mswekwa, nnauye, shullukindoz lazima uishe 2015. tumechoka na hawa watu ila mwisho wao unakaribia. ngoja wavutane. tabia chafu kweli hadi dada mtu anauza mwizi kwa ajili ya pesa
 
cdm1.jpg
Huyu kulia ndiye Deo Munishi sasa fananisheni.wanafanana?
 
Mzee, mzee, mzee acha kabisa kugusa huko. utakutana na jambo baya sana, japo unasema ka-ukweli fulani mezea tu. unajua unaweza tengeneza shairi na vina vikaa sawa;Edwin Mtei, Freeman Mbowe;Wilbroud Slaa, Rosemary Kamili;Tindu Lissu, Christina LissuPhilemon Ndesamburo, Lucy Philemo;Vecent Nyere, Letcia Nyerere;unaweza kuendeleza shairi hilo. Teh teh teh teh
Baaaaaaaaas! Usiendeleee!!
 
Back
Top Bottom