Anafanana sana na Mbowe

Anafanana sana na Mbowe

Sio mbaya kumfahamu ni Nani huyu.Aliye nielewa atanisaidia.Ni mtoto au mdogo wake.Bahati mbaya sina picha yake.Nimemwona naye yupo arumeru kwenye mapambano

Duniani watu tunafanana watu 7 7
 
Mwenye picha ya Munisi aiattach hapa na sisi tufananishe.

Freeman Mbowe.jpgHon.Freeman Mbowe..........J.K Nyerere.jpgMwl Julius K.Nyerere

Deo Munishi.jpgMr Deogratias Munishi

They Look the same...binadamu wawiliwawili duniani.
 
Mjomba anafanana sana na mwenyekiti kwa kweli
 
Mzee, mzee, mzee acha kabisa kugusa huko. utakutana na jambo baya sana, japo unasema ka-ukweli fulani mezea tu.
unajua unaweza tengeneza shairi na vina vikaa sawa;

Edwin Mtei, Freeman Mbowe;
Wilbroud Slaa, Rosemary Kamili;
Tindu Lissu, Christina Lissu
Philemon Ndesamburo, Lucy Philemo;
Vecent Nyere, Letcia Nyerere;
unaweza kuendeleza shairi hilo. Teh teh teh teh

rashid kawawa_vita kawawa,sioi na jeremia,sokoine_namelok sokoine,pius msekwa_anna abdalah,ane malicela_mzee malecela,ridhiwan_jakaya_salma kikwete,hasan mwinyi_husein mwinyi...na wengineo
 
Huyu Deogratias nimesoma naye UD.Ni kijana mpambanaji.
Mnaweza pia kusema Mbowe anafanana na Lipumba, kama mnabisha chukua picha ya Mbowe hiyo hapo juu kisha weka ya Lipumba pembeni yake - tuone!
 
Mzee, mzee, mzee acha kabisa kugusa huko. utakutana na jambo baya sana, japo unasema ka-ukweli fulani mezea tu.
unajua unaweza tengeneza shairi na vina vikaa sawa;

Edwin Mtei, Freeman Mbowe;
Wilbroud Slaa, Rosemary Kamili;
Tindu Lissu, Christina Lissu
Philemon Ndesamburo, Lucy Philemo;
Vecent Nyere, Letcia Nyerere;
unaweza kuendeleza shairi hilo. Teh teh teh teh
Mr.SUGU alimdanganya Shyrose kuwa akimpa *** atahakikisha anateuliwa kuwa MBUNGE wa VITI MAALUM ......CHADEMA hawafai kabisa.Wangekuwa wengi kama CCM basi nchi ingebaki skeletoni tupu kwa uroho wa MADARAKA.Jamaa wanasomea kozi ya FITINA na MAJUNGU kuwachafua CCM hata kwa wale VIONGOZI makini kama DR.Magufuli,Dr.Mwakyembe,Dr.Mponda,Dr.Bilal,Prof.Mwandosya,Mh.SITTA,NAPE,Prof.TIBAIJUKA etc.Hao wote hawana undugu kama tunavyowaona CHADEMA.Pia CDM haina wasomi MAKINI kama waliopo ndani ya CCM.RAI yangu kwa CCM msiogope kujikosoa pale mnapokosea hiyo ndiyo Demokrasia ya KWELI.Msiwape nafasi CDM kuona udhaifu ktk maamuzi.Mfano mzuri RA ameng'atuka lakini heshima yako ipo palepale ,kama uongozi wa nchi mtapata pale mtakapo onyesha kuwa ni wazalendo kweli kweli.Uchaguzi wa mwaka huu utumike kujenga CCM mpya.
 
uko darasa la ngapi wewe,nyie ndo mnaoandika vumbi kwenye pepa za necta.unajua maana ya uzalendo wewe?
 
Samweli sita-magreth sita
Samwel malechela-ana kilango
Vita kawawa-zainab kawawa
Ana abdallah Pius msekwa
Yusuph makamba-Januari makamba
Amina makilagi-Nimrod mkono
Mzee, mzee, mzee acha kabisa kugusa huko. utakutana na jambo baya sana, japo unasema ka-ukweli fulani mezea tu.
unajua unaweza tengeneza shairi na vina vikaa sawa;

Edwin Mtei, Freeman Mbowe;
Wilbroud Slaa, Rosemary Kamili;
Tindu Lissu, Christina Lissu
Philemon Ndesamburo, Lucy Philemo;
Vecent Nyere, Letcia Nyerere;
unaweza kuendeleza shairi hilo. Teh teh teh teh
 
Sio mbaya kumfahamu ni Nani huyu.Aliye nielewa atanisaidia.Ni mtoto au mdogo wake.Bahati mbaya sina picha yake.Nimemwona naye yupo arumeru kwenye mapambano
Ni huyo huyo Mbowe, bahati mbaya unamwangalia ukiwa umeshalewa ukaona kama wako wawili.
 
Mr.SUGU alimdanganya Shyrose kuwa akimpa *** atahakikisha anateuliwa kuwa MBUNGE wa VITI MAALUM ......CHADEMA hawafai kabisa.Wangekuwa wengi kama CCM basi nchi ingebaki skeletoni tupu kwa uroho wa MADARAKA.Jamaa wanasomea kozi ya FITINA na MAJUNGU kuwachafua CCM hata kwa wale VIONGOZI makini kama DR.Magufuli,Dr.Mwakyembe,Dr.Mponda,Dr.Bilal,Prof.Mwandosya,Mh.SITTA,NAPE,Prof.TIBAIJUKA etc.Hao wote hawana undugu kama tunavyowaona CHADEMA.Pia CDM haina wasomi MAKINI kama waliopo ndani ya CCM.RAI yangu kwa CCM msiogope kujikosoa pale mnapokosea hiyo ndiyo Demokrasia ya KWELI.Msiwape nafasi CDM kuona udhaifu ktk maamuzi.Mfano mzuri RA ameng'atuka lakini heshima yako ipo palepale ,kama uongozi wa nchi mtapata pale mtakapo onyesha kuwa ni wazalendo kweli kweli.Uchaguzi wa mwaka huu utumike kujenga CCM mpya.

Mods futeni huu *****
 
Mzee, mzee, mzee acha kabisa kugusa huko. utakutana na jambo baya sana, japo unasema ka-ukweli fulani mezea tu.
unajua unaweza tengeneza shairi na vina vikaa sawa;

Edwin Mtei, Freeman Mbowe;
Wilbroud Slaa, Rosemary Kamili;
Tindu Lissu, Christina Lissu
Philemon Ndesamburo, Lucy Philemo;
Vecent Nyere, Letcia Nyerere;
unaweza kuendeleza shairi hilo. Teh teh teh teh

Mfa maji haachi kutapatapa.
Tunachokitaka ni kuiondoa CCM tu hata kama josephine atakuwa waziri mkuu, hiyo sio hoja ya sasa. pack up and go
 
Mr.SUGU alimdanganya Shyrose kuwa akimpa *** atahakikisha anateuliwa kuwa MBUNGE wa VITI MAALUM ......CHADEMA hawafai kabisa.Wangekuwa wengi kama CCM basi nchi ingebaki skeletoni tupu kwa uroho wa MADARAKA.Jamaa wanasomea kozi ya FITINA na MAJUNGU kuwachafua CCM hata kwa wale VIONGOZI makini kama DR.Magufuli,Dr.Mwakyembe,Dr.Mponda,Dr.Bilal,Prof.Mwandosya,Mh.SITTA,NAPE,Prof.TIBAIJUKA etc.Hao wote hawana undugu kama tunavyowaona CHADEMA.Pia CDM haina wasomi MAKINI kama waliopo ndani ya CCM.RAI yangu kwa CCM msiogope kujikosoa pale mnapokosea hiyo ndiyo Demokrasia ya KWELI.Msiwape nafasi CDM kuona udhaifu ktk maamuzi.Mfano mzuri RA ameng'atuka lakini heshima yako ipo palepale ,kama uongozi wa nchi mtapata pale mtakapo onyesha kuwa ni wazalendo kweli kweli.Uchaguzi wa mwaka huu utumike kujenga CCM mpya.

Kuja kufika 2015 Mimavi itawatoka. Na sugu ni lazima aje kuwa barozi, na DR SLAA lazima ajenge ikulu nyingine akakae taha mstarehe sababu magogoni mmeishapageuza sehemu ya kupandishia maruhani na kufanya matambiko.
 
rashid kawawa_vita kawawa,sioi na jeremia,sokoine_namelok sokoine,pius msekwa_anna abdalah,ane malicela_mzee malecela,ridhiwan_jakaya_salma kikwete,hasan mwinyi_husein mwinyi...na wengineo

Pius msekwa na anna abdallah, makambaz, shellukindos..
 
du kumbe kuzaa nje ya haijaanza leo..sina haja ya kujilamu sana.
 
Back
Top Bottom