Anae hitaji kuhamia liwale tubadilishane

Anae hitaji kuhamia liwale tubadilishane

Kwa ushauri tu, usikimbie huko mkoani ndipo pakutokea, kopa mkopo, nunua korosho za wakulima ututumie huku mjini tukuuzie.
Mkuu ubaya hajaeleza kwanini anahama huko. Huenda anataka kuzamia kwa mchepuko. Hawa walimu vichwa vyao wanatumia kubebea kamasi
 
Mkuu ubaya hajaeleza kwanini anahama huko. Huenda anataka kuzamia kwa mchepuko. Hawa walimu vichwa vyao wanatumia kubebea kamasi
Inawezekana huko alipo hapaja changamka. Kuna mikoa ukipelekwa unajikuta akili inadumaa kabisa, na usiposhtuka mapema unaweza kujikuta na wewe unaongea kilugha chao.
Ila kwa namna nyingine anaweza kutumia kama fursa kibiashara.​
 
Fanya juu chini uhame huko Mangirikiti, jina tu linasadifu maisha ya huko. Pole!
 
Pole sana Mwalimu kwa kupata kazi ya kiboya sana.
Kuna watu mnakua kama hamnazo” kutwa kucha kuwatukana walimu alafu asubuhi unamshika mkono mwanao unampeleka shule kwa mwalimu unayekesha kumtukana sasa hapa mjinga nani?
 
Mie nitoe 2M uje shule ya fumagila Mwanza nyamagana mjini kabisa hii hapa mwalimu mwenzangu. Mana huko ndiko kwetu nilikuwa nawaza namna ya kupata mtu wa kubadilishana Naye ili niende home
 
Back
Top Bottom