Anadhani aki-post atanishtua

Haya ni mawazo yako ndio yanakusumbua.
 
Fanya Mambo mengine hili litakupotezea Muda.
 


Hata nyiee mnazo bwanaa, kuna Uzi unasema ...mke wangu anapost status za vijembe
Heeey,, yegoooo msichana Ni mtu mwenye jinsia ya kike anaefanya utoto utoto pasipo kujali umri wake umeelewa sasa
 
Aaaah wapi ntaja kuwapa mrejeshoo humu
Jimbo limekutatiza hilo.

Wagombea wenye mipango endelevu tunajipanga kuwekeza. Right now!

anyway, Kwa mujibu wa maelezo yako, imempendeza bidada ukae ndani ya moyo wake. Badala yake, unaishia nje ya moyo. Unamfanyia gubu mpaka anahoji maamuzi yake kukupa nafasi. #UnamtesaMoyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…