Wewe ndiyo mwenye tatizo, hasa pale unapojibu bila uangalifu. Majibu yako siyo mazuri na yanamkera. Yeye atajuaje unatania au umemaanisha kweli kiutani. Pia usidhani kila mtu anajuwa maana za kila emoji. Wakati mwingine unasoma msg kabla ya kuona emoji na ikiwa mbayo huendelei kuangalia lingine.
Kuhusu mchango, kwa nini ukurupike kumwambia ukiwa na shida ndiyo unanitafuta! After all, wewe ndiyo ulimpigia sasa yeye kukumbushia mchango kuna ubaya gani. Ungeweza ukamjibu hujapata, lakini ukamjibu kikaidi. Mtu kama wewe unaongea bila kuwa na hisia kuwa unachosema kina''hurt feelings..za yule unayeongea naye. In short, you are inconsiderate, hateful, self-serving, snobbish, and above arrogant.