The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,890
- 4,865
Asalaam,
Kuna uzi wangu niliupost huko nyuma ukisomeka. Nimekataliwa kisa mwanachuo.
Haka kadogo bwana, nlikaelewa na kama kangeonesha response nzuri mkuu ninge settle tufanye maisha.
Miezi kadhaa iliyopita tulikwazana sikumbuki jambo llikuwa gani, nikampotezea sababu nahisi ye ndo alikuwa chanzo, akawa ananicheki Whatsapp na Messenger mie namkaushia.
Kuna siku akanitext messenger kuuliza kama kina shida nikamjibu hapana , AKANITUMIA voice note huko nikamjibu KWANZA SAUTI YENYEWE MBAYA, nilimjibu hivyo kimatani na huku nikiweka emoji ya kucheka kuonesha siko serious. Mtoto baaada ya hapo akapotea miez kadhaa. I wish ningemvoice note labda tone yangu ingeonesha nlikuwa kimasihara zaidi.
Miez ikapita huku tukiview status z kila mtu but no commenting or texting each other, nkipata shida akajuaa akanicheki tukaongea vyema, ikabidi nimuilize vp mbona hivyoo akajjibu ni ile reply niliomuambia anasauti mbayaa
but kiukweli sikumaanisha yalikuwa masihara kumbe ye hakupenda.
Ikumbukwe hapo nyuma alikuwa akinipigia simu ananiimbiaa nyimbo mara kadhaa, lakini tatizo haka kadogo kakikosea hakatak kaonekana kamekosea namie siwez endana namtu anaeona Yuko sahihi muda wote.
Basi nikamuomba radhi yakaisha tukaanza kurasa mpyaa ya urafiki wetu.
Dogo kasogea kidogo eneo nlilokuwa nakaa kaenda sehem nyingine hivyo nikipata time huwa naenda kumsalimia na kupiga story kadhaa.
Kuna siku akaniomba harambee za kanisani nikasema nitampa kwa kuwa haikuwa na haraka sana. Siku zimeenda nikapata nafasi ya kwenda anakokaka kwa huo muda, nikamcall kumwambia Niko sehem ya kwenu, alikuwa anajianda kwenda kuimba kanisan mazoezin akanijibu..... Eeeh Tena bora umekuja unipe mchango .... NIKAMUULIZA kwahiyo hufurahii mie kuwepo hapa lakini unafuraha sababu utapata helaa, AKAKATA SIMU , from that day onwards hakuna aliyemtafuta mwenzake, sahiv sioni hata status zake lakin last seen zake ni recently.
SHIDA IMEKUJA tangia tumepishana hapo ameanza kupost post picha zake fb story na kwenye timeline yake as well as ku update profile picture , SIJAWAHI comment wala kuview status zake kwakuwa naweza kuziona hata bila kuclick
.
Kupost status sio shida lakin sasa imekuwa kila siku hata saiv navosema kapost nasio labda nmfatilia hapana nikiwa nacheki updates Naona kuwa kapost picha zake.
Sasa nashindwa jua anataka aone kama Bado na attention naye ama ni mechanism ya kuona kuwa anafuraha and can be happy without me, na kiukweli huyu dogo alikuwa akipiga simu tunaongea Sana kama 2 ppo in love.
Au akili yake inamwambia kuna siku nitacomment picha zake then aniulizie why simtafuti

Anything can be true
Pia tusiwasemee negative Hawa wadada hata kama ulimsifia anasauti nzuri mara buku siku ukisema anasauti mbayaa anasahau hizo buku ulizomsifiaa iwe ni serious au masihara hawapendi
Kuna uzi wangu niliupost huko nyuma ukisomeka. Nimekataliwa kisa mwanachuo.
Haka kadogo bwana, nlikaelewa na kama kangeonesha response nzuri mkuu ninge settle tufanye maisha.
Miezi kadhaa iliyopita tulikwazana sikumbuki jambo llikuwa gani, nikampotezea sababu nahisi ye ndo alikuwa chanzo, akawa ananicheki Whatsapp na Messenger mie namkaushia.
Kuna siku akanitext messenger kuuliza kama kina shida nikamjibu hapana , AKANITUMIA voice note huko nikamjibu KWANZA SAUTI YENYEWE MBAYA, nilimjibu hivyo kimatani na huku nikiweka emoji ya kucheka kuonesha siko serious. Mtoto baaada ya hapo akapotea miez kadhaa. I wish ningemvoice note labda tone yangu ingeonesha nlikuwa kimasihara zaidi.
Miez ikapita huku tukiview status z kila mtu but no commenting or texting each other, nkipata shida akajuaa akanicheki tukaongea vyema, ikabidi nimuilize vp mbona hivyoo akajjibu ni ile reply niliomuambia anasauti mbayaa

but kiukweli sikumaanisha yalikuwa masihara kumbe ye hakupenda.Ikumbukwe hapo nyuma alikuwa akinipigia simu ananiimbiaa nyimbo mara kadhaa, lakini tatizo haka kadogo kakikosea hakatak kaonekana kamekosea namie siwez endana namtu anaeona Yuko sahihi muda wote.
Basi nikamuomba radhi yakaisha tukaanza kurasa mpyaa ya urafiki wetu.
Dogo kasogea kidogo eneo nlilokuwa nakaa kaenda sehem nyingine hivyo nikipata time huwa naenda kumsalimia na kupiga story kadhaa.
Kuna siku akaniomba harambee za kanisani nikasema nitampa kwa kuwa haikuwa na haraka sana. Siku zimeenda nikapata nafasi ya kwenda anakokaka kwa huo muda, nikamcall kumwambia Niko sehem ya kwenu, alikuwa anajianda kwenda kuimba kanisan mazoezin akanijibu..... Eeeh Tena bora umekuja unipe mchango .... NIKAMUULIZA kwahiyo hufurahii mie kuwepo hapa lakini unafuraha sababu utapata helaa, AKAKATA SIMU , from that day onwards hakuna aliyemtafuta mwenzake, sahiv sioni hata status zake lakin last seen zake ni recently.
SHIDA IMEKUJA tangia tumepishana hapo ameanza kupost post picha zake fb story na kwenye timeline yake as well as ku update profile picture , SIJAWAHI comment wala kuview status zake kwakuwa naweza kuziona hata bila kuclick

.Kupost status sio shida lakin sasa imekuwa kila siku hata saiv navosema kapost nasio labda nmfatilia hapana nikiwa nacheki updates Naona kuwa kapost picha zake.