Anadai ana mtu wake, naushindaje huu mtihani?

Wanaume bhana mbka hapo hana time na wewe bado unang'ang'ania tu, katafute wengne mkuu demu hajakupenda uyo au mpe pesa option 2 hizo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanaume bhana mbka hapo hana time na wewe bado unang'ang'ania tu, katafute wengne mkuu demu hajakupenda uyo au mpe pesa option 2 hizo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo wa kishua mkuu pesa sio shida kwao
 
S
Kosa mnalofanya mkiw mnatongoza ni hili

"Sorry, Una mpenzi? "
"Una boyfriend or? "
"Upo single? "
"Umpendae ajambo"

Yaan mnatengeneza mazingira ya kujibiwa yupo katik mahusiano..

Ushauri.. Ww Ukiamua kutia Vocal usiulize kam and bwana.. Ww pambana na hali yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikumuuliza lkn jibu lake mwisho ndo lilikuwa ivo
 
Back
Top Bottom