Anadai ana mtu wake, naushindaje huu mtihani?

Du izi mada zingine ata sijui nichangiaje ila mi kupenda stage iyo nilishapita coz na mama chanja hom ila sijajua ninja unampendaje umtumie yaishe au ndo awe mama watoto kama unataka awe wife mzoee kisera urafiki mambo mengine yatajipa ata kama anasema ana mtu wake anakupima imani tuu.ila kama ni Hit and run tafuta Franca (makuta)utampata tu coz mwenyew mdomon zege ko izo fursa nilikuw na enjoy nikiwa na chuma nikiwa sina nachil nakula zangu cha Arusha napeleka harakati zangu mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna hela wewe acha kulialia hapa,mpe pesa kisha piga kimya,lazima iko siku atakutafuta,akikutafuta tu mpe pesa,kisha muongeze pesa alafu muulize vipi jamaa yako mzima?jibu atakalo kupa njoo liweke hapa alafu nitag
Sio unampa elfu kumi huku unawaza wiki mzima lazima uambiwe kuna mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ntaongeza kiwango
 
Du izi mada zingine ata sijui nichangiaje ila mi kupenda stage iyo nilishapita coz na mama chanja hom ila sijajua ninja unampendaje umtumie yaishe au ndo awe mama watoto kama unataka awe wife mzoee kisera urafiki mambo mengine yatajipa ata kama anasema ana mtu wake anakupima imani tuu.ila kama ni Hit and run tafuta Franca (makuta)utampata tu coz mwenyew mdomon zege ko izo fursa nilikuw na enjoy nikiwa na chuma nikiwa sina nachil nakula zangu cha Arusha napeleka harakati zangu mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nampenda sana nikimpata naoa
 
Back
Top Bottom